AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Akizungumza katika kipindi cha The Weekend Chat Show cha Clouds TV, Mzee Abdul alidai Diamond alimtambulisha Wema kwake pamoja na kumvalisha pete.
“Yaani Diamond toka akiwa na Wema ndio alikuja hapa kumvalisha pete Wema,” alisema Mzee Abdul.
“Unajua toka nizaliwe sijawai kuona mwanamke mwenye heshima zake kama Wema. Nimewai kuletewa mwanamke mmoja tu toka (Diamond) anakuwa,”. Alisema
Aliongeza, “Only one hana umalaya huo. Kwa sababu mimi Diamond namwamini kitu kimoja, muda wakutembelea kwenye madisko hana. Yeye ni mtu wa kukaa nyumbani na kufikiria anafanya nini kwa sababu mwenyewe anajiona yupo kwenye ushindani, bila kujiandaa kwa ajili ya kazi zijazo ‘atarostika’. Kwahiyo mimi nasema big up akaze buti,”
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
he! sasa aliemzalia mtoto hakutambulishwa?
ReplyDeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteKwa Hilo namuunga mkono Wema anatabia Na khulka za kitanzania Na anajua jinsi ya kujipwndekeza Ukweni Na tabia za mwanamke WA kiafrika lkn imeshatoka msubiri bi zari atakunywesha Uji,atakupeleka hospital ukiumwa usikate tamaa
ReplyDeleteraphael gadau we mbona unavaa pedi jinsi wanaume wenzako walivyo kuharibu., si afadhali huyo wema kuliko wewe na zari mnafeki mpaka makalio.
ReplyDeleteUkistaajabu ya musa basi utaona ya firauni
ReplyDelete