Breaking News..Rachel Mashishanga, Christowaja Mtinda wahama CHADEMA na kujiunga CCM

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Leo mjini Singida katika kuadhimisha miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM, maazimisho hayo yanayofanyika mjini Singida pia yameambatana na tukio kubwa la kuwapokea waliopata kuwa wabunge wa CHADEMA ambao ni Bi Rachael Mashishanga na Christowaja Mtinda
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Malaya hawa wanafuta pochi
    Kisa Magufuli msukuma awabebe
    Fyuuuuuuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. kuwa na nidhamu unawatukana hao akina mama
      wewe ulitapikwa au
      mshenzi mkubwa wewe kuwa na nidhamu kwa akina mama

      Delete
    2. Wacha umbea wewe kuambia mama wa wenzio malaya na ya mamako je unayajua mwana haramu wewe

      Delete
  2. Wakalee wajukuu

    ReplyDelete
  3. Washakufa kisiasa km hawajui wamuulize Tambwe Hiza

    ReplyDelete
  4. Tumia lugha laini wewe acha matusi!

    ReplyDelete
  5. Mwandishi ulishasema,WALIOKUWA WABUNGE,hakuna kitu cha kushangaa njaa zinawasumbua,mbaya zaiNew clippings will be saved here as you copy them. Tap the context button to delete this message.di magu anajua ni majipu tu.

    ReplyDelete
  6. Mwandishi ulishasema,WALIOKUWA WABUNGE,hakuna kitu cha kushangaa njaa zinawasumbua,mbaya zaidi magu anajua ni majipu tu.

    ReplyDelete
  7. Kwisha habari yao siasa ngumu jameniiiiiii hahahaha

    ReplyDelete
  8. Wakauze CCM
    Inayobeba miozo yote ya dunia

    ReplyDelete
  9. Waende kwa misago wenzao UKAWA hatuna mchezo huo

    ReplyDelete
  10. Mlivyo mpokea fisadi mlisema ni uhuru wa demokrasi mtu kuhama chama leo kina mama wamechagua wapi roho inapenda UKIWA presha juu mkuki kwa nguruwe na bado Mtasoma Namba

    ReplyDelete
    Replies
    1. Msago hao Hawana chao chadema wala ukawa

      Delete

Top Post Ad