Hatimaye Rommy (DJ wa Diamond) Arejea Kazini Baada ya Kusemekana Wametofautiana na Diamond Platnumz

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Sina uhakika kama Diamond na Rommy waligombana lakini kwa habari za chini chini inasemekana kuwa Rommy na Diamond walitofautiana ingawa wao hawakuthibitisha hilo!

Taarifa za chini chini zinasema kuwa Rommy na Diamond walitofautiana baada ya Rommy kuambiwa ajitegemee! Ndipo Rommy alipo kaa mbali na WCB na kuamua kuanza kurusha Matangazo katika Ukurasa wake wa Insta! matangazo yalio kuwa yana muhusu diamond alikuwa anatoa kwa kuibia ibia sana

Ikumbukwe kuwa show za Diamond zote Rommy alikuwa ndio Dj lakini baada ya kutofautiana kwao hakuonekana tena kwenye show hadi Usiku wa Mkesha wa Valentines day ambapo Diamond Alifanya Show kubwa Kisumu Kenya

Wakiwa na Crew ya WCB kenya Rommy ameonekana kwenye picha ya pamoja jambo ambalo watu wamesema ni kutokana na kumaliza tofauti zao na hivyo ataendelea kuwa Dj wa Diamond katika show zake zote

Juzi Rommy alipost videos mbili zikionesha akiwa kwenye Ndege kuelekea kenya ingawa yeye hakusema kama anaende kenya ndipo Esmaplatnumz alipo comment na kusema nakuona Rommy Nairobi Moja!

Diamond nae alipost video akionesha anatoka SA kwenda Kenya kwenye show!

Ule usemi wa kuwa Ndugu wakigombana Shika Jembe ukalime ni dhahiri kuwa umetimia!

Sasa Diamond + Rommy wapo pamoja tena na Kazi zinaendelea! kama ni kweli waligombana Hongera kwa alie wapatanisha!

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Na huyo baby mvalisheni wigi afiche kupilipili chake

    ReplyDelete
  2. Mna uhakika gani walitofautiana?mtu asiende likizo?wabongo mnapenda sana kuona watu wanagombana,sasa limewashuka mtasubiri sana

    ReplyDelete
  3. Usela mwngine umezid sasa hicho ki rommy kimevaa nin hicho

    ReplyDelete
  4. Yes i am totally agreed with this article and i just want say that this article is very nice and very informative article.I will make sure to be reading your blog more. You made a good point but I can't help but wonder, what about the other side? !!!!!!Thanks
    Corporate Event DJ

    ReplyDelete

Top Post Ad