Madai ya Kalio Feki la Wema… Mama’ke Afunguka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Madai ya staa mkubwa Bongo aliye pia Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu kwamba wowowo lake linazidi kuwa kubwa kwa sababu anatumia dawa za Kichina yanazidi kushika kasi huku kwa mara ya kwanza mama yake mzazi, Mariam Sepetu akifunguka, Amani limechimba ukweli.

MADAI YALIPOANZA
Mashoga wanena, alianza na kuongeza unene, sasa kahamia kwenye makalio ili awe na wowowo.
Manenomaneno hayo yakazidi kushika kasi zaidi kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kitu ambacho kinadaiwa kuikosesha amani familia ya staa huyo na hata yeye mwenyewe.
Kulikoni jijini Mwanza, Pati ya Instagram yazua mjadala.
Wa mtandaoni wao wanasema Wema anatumia dawa za Kichina kukuza ‘tela’ lake.

WEMA ALIPOTAFUTWA
Agoma kupokea simu.
Agoma kujibu ujumbe.
mamawema1Mama Wema

MAMA YAKE MZAZI SASA
“Nawashangaa wanaomsema vibaya mwanangu kuwa amejaladia (wowowo), wengine wanasema anatumia dawa za Kichani, hakuna ukweli wowote kwani Wema ni mwanangu, namjua alivyo. Hakuna kitu alicho-ongeza kwenye mwili wake.”

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hiii story sijaielewa hata...

    ReplyDelete
  2. ILA wowowo lake ka lipo shapeless, Lina mabondemabonde tofauti na zamani. Allah saidia isiwe kweli

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hata li mama lake linajua kama wowowo la mtoto wake ni feki kama ile mimba yake feki. Hili limama ni li jipu.

      Delete
    2. HIZI MSG ZINATOKA UGANDA? KISWAHILI FEKI

      Delete
  3. eti kadinda alisema wema ni mja mzito mpaka anakula sana, na hadi alitapika matembele kumbe mimba feki

    ReplyDelete
  4. Matako yamesmshuka wala hayapendezi

    ReplyDelete
  5. kama anayo kweli na original akacheze video na SNURA tuone mambo

    ReplyDelete
  6. Tako na wowo lipo kwa Bi Zari
    Mguu wa BIA

    ReplyDelete
  7. Napenda sauti yako WEMA

    ReplyDelete

Top Post Ad