Baada ya Jackline Wolper kuwa na Harmonize, Kataja jina Analomuita Diamond kwa Sasa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwa sasa headlines nyingi katika upande wa mastaa Tanzania ni stori kuhusu penzi la muigizaji Jackline Wolper na msanii wa Bongo fleva kutoka Wasafi Classic Baby (WCB) Harmonize ndio Topic kubwa town.

Katika mahojiano na Take One ya Clouds TV  na Zamaradi Mketema, Jackline Wolper ameeleza mambo kadhaa kuhusiana na penzi lake la Harmonize, Diamond ambaye aliwahi kuwa mpenzi wake anachukuliaje mahusiano yao?

“Diamond rafiki yangu sana ni mtu ambae nategemea hata kuja kufanya nae filamu, Diamondi ni rafiki yangu sana licha ya watu wanaweza wasielewe, lakini sasa hivi Diamond ni baba mkwe wangu,

“kuhusu Harmonize nampenda kwa sababu ana hofu ya mungu, ana heshima sana mwisho hawezi kufanya maamuzi bila kuomba ushauri, katika kunipenda mimi alipiatia pia kuomba ushauri kwa Diamond ambaye ni boss wake kaka yake na kupewa ruhusa kwa hiyo Baraka zimetoka kwa Diamond mwenyewe”
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mama endelea kumpenda kijana huyo na mpandishe kimaisha kwa maana wewe unajua mengi kuliko dogo huyu. Mlee na yeye akuheshimu na kukuthamini hakuna anaejua kesho, uenda ndiyo safari ya kuwa mke na mme. Nawatakia mfanikio mema katika dunia yetu nzuri ya ajabu.

    ReplyDelete
  2. Wishing u all the best all in all Bongo movies na Bongo Flavar ni vimeo tu mnapenda kila uhusiano muweke Live ndio uzungu????? I don not now.

    ReplyDelete
  3. Wolper unawaaibiisha wachaga

    ReplyDelete
  4. unagawa kwa kila rika!

    ReplyDelete
  5. Kwani kwenye hiyo nonino... kuna sehemu umebandikwa muhuri uonyeshao kuwa hapa inatakiwa kuingia naniii...ya mwenye umri fulani au ni mapenzi pale wawili wanaohusika wanaporidhiana na kuamua wenyewe toka mioyoni mwao kuwa pamoja kimapenzi bila kujali dini kabila uwezo wa kipato kilema au umri walionao kati yao maana naona penzi la hawa watu wawili linawatoa wengi wenu mapovu ya sabuni mbuni au mmesahau kuwa bongo ni nchi ya demokrasi nini?

    ReplyDelete
  6. Hivi hapo kuna 'mapenzi' au 'pesa'? Yetu macho. Huyo 'chinga' ajiandae kurudi kwao akiwa 'mtupu', hapana chezeya Jack Wolper weweee!!

    ReplyDelete
  7. Jackie enjoy your time with this young man. Ila ujue anapita tu. Huyo bado mdogo kiumri na kikazi. Hawezi settle down sasa hivi. Kama unatafuta mchumba wa kukupa maisha ya ndoa yaliyotulia hapo hakuna ila waweza kuzaa uwe single parent baada ya muda.

    ReplyDelete
  8. Yatapinduka tu tena,hamkawii.

    ReplyDelete

Top Post Ad