Je Zari na Aliyekuwa Mumewe Ivan Wamerudiana? Hizi Picha zazua Utata Mkubwa Huko Insta

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Huku Instagram picha hizo mbili zimekuwa gumzo leo baada ya Mama mtoto wa Diamond kwasasa Zari Hassan na aliyekuwa mumewe Ivan Kuonekana wamepiga picha sehemu moja inayofanana kwenye sehemu ya kuogelea..Picha hizi zimeleta wasiwasi kuwa huenda wawili hao walikuwa pamoja wakiogelea huku wengine wakimtetea Zari na kusema kuwa yeye alikuwa hiyo sehemu siku nyingi lakini Ivan ameenda sehemu hiyo hiyo na kupiga picha na kuzitupia mtandaoni leo kumuumiza Diamod  na kuwapa watu cha kuongea
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hahaaaa hatariii mwacheni zari na yeye ale raha jamanii mbona diamond na yeye Ana msaliti kila siku alafu anajitia ooooh roho yangu....uongo mtupuuu anamfanyia zari Kama alivyokuwa anamfanyia penny hivyo hivyo...alikuwa anatoka na wema kisirii Siri akiambiwa anakataa halafu anaweka picha ya penny anasema this is my wife kumbe uongo mtupuuu penny alivyogundua Kama anadanganywa akaondoka zake!!!inawezekana zari kaisha gundua piaa...

    ReplyDelete
  2. KAAA WABONGO MMEZIDI JAMANI KHAAA!!! MWACHENI MTOTO WA WATU APUMUE KILA SIKU KUMTAFUTIA JAMBO TU. MAPICHA YA KALE NDIO MNATULETEA SASA!!! ACHANI HIZO VIBAYA JAMANI. DUUU.

    ReplyDelete

Top Post Ad