Mama Wema Sepetu Aonyesha Alivyoumbika Adai Mtoto wake Amechukua Kwake..Awashangaa Wanaosema Wema Ametumia Dawa Kukuza Makalio

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mama Wema Sepetu Ameongea na Kusema kuwa anawashangaa wale wote wanaosema mtoto wake ameongeza makalio kwa dawa wakati wanaona kabisa kuwa amerisi makalio hayo kutoka kwa mama yake...Mama huyo amekwenda mbali zaidi na kuweka video yake hapa akionyesha jinsi alivyo mashalaaa......

Tazama Video Hapa:


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

20 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. AHH Nikimkosa Wema hata huyu mama bado analika tu!

    ReplyDelete
  2. mtu mzima ovyo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Halafu anapikia kisufuria cha bei rahisiii. Nje kwake kuchaf chaf. Ptuuu

      Delete
  3. Duh!Ashakhum si matusi lakini huyu bi mkubwa amepinda kisawasawa yaani siamini kuwa huyu bi mkubwa alikuwa ni mke wa marehemu Isaac Sepetu duh!nakoma ubishi kwa umri wake na kwa heshima ya marehemu mumewe badala ya kutengeneza yeye ndiyo yupo mstari wa mbele kuharibu

    ReplyDelete
  4. na tabia yake kama yako

    ReplyDelete
  5. kawakomesha! matusi kwa Wema mlifikiri Mama yake haumii. Mmeshushuka nyoooni.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Amedhiirisha ujinga uko ndani ya familia, aibu sana mama mtu mzima kufanya upuuzi wa aina hiyo.

      Delete
  6. Yess. Mama anaejua kumpenda na kuwajibu mahayani walokosa kazi na kumtukana Mema.

    ReplyDelete
  7. Mmmh!Huyu mama jamani.

    ReplyDelete
  8. ujinga mtupu kwani asiyejua ya kweli na ya kuongeza nani. yule alikuwa nayo ya kawaida mazuri kama hayo mama ila sasa hivi yako pande nne mraba kwa kuongeza.

    ReplyDelete
  9. Mmmh mungu msamehe

    ReplyDelete
  10. Zee zima halina hata aibu

    ReplyDelete
  11. Zee zima halina hata aibu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wazee wa mastaa kwanza wanakuwa wakali ,baadae mbona wanafata watoto wao wanavyotaka Pochi inabadili .mama Diamond amefikishwa Ulaya anampenda sana Zari kwa sasa.

      Delete
  12. Kungekuwa hakuna tatizo mama angekaa kimya watu watajua wenyewe. The fact mama anakazana namna hii ni wazi kwamba mtoto alishajidunga mauchafu sasa badala ya kubishabisha tibuni infection haraka. Nendeni you tube muone vilio tena toka huku USA sembuse hizo za china. Be careful people msiigeige tu. Watoto wazuri mahangaiko sijui ya nini.Mnafikiri kina Nikki Minaj wanaakili nzuri? Igeni ya maana wajanja hawajidungi hata huku.

    ReplyDelete
  13. Kubwa jinga

    ReplyDelete
  14. Huyu mama sio mzima, kweli like mother like daughter

    ReplyDelete
  15. hata kama kajiongezea munawashwa na nini??? mbona mnakuwa mafala sana wakufatilia ishu za watu. hasara ni yake na familia yake au mna undugu naye.? katombweni!

    ReplyDelete
    Replies
    1. yaani umejibu vizuri pongezi ILA kutukana sio busara

      Delete
  16. Mmmh!!!time will tell

    ReplyDelete

Top Post Ad