Muhimbili Kuna Kitengo cha Kuhudumia Mashoga..Shoga Maarufu Afunguka Kupitia Take One ya Zamaradi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hii nimeisikia jana kupitia kijana mmoja shoga aliyekuwa akihojiwa katika kipindi kimoja kwenye tv. Alijiweka bayana sana na hakuficha jambo, kitu kilichonistaajabisha kwa uwazi wake. Hata changudoa si rahisi kujianika kiasi kile.

Akasema Muhimbili wana kitengo chao cha kuhudumiwa. Kwamba hupewa mafuta ya ky, kondom, sabuni, hasa za kusafishia kinywa baada ya blow job, n.k. Hiki kitengo mbona kipo katika taasisi nyeti kiasi hiki? Serikali waliridhia vipi kuweko kwa kitengo hiki pale? Ni nani wafadhili?

Mbona huwa hatusikii kikitangazwa kama vitengo vingine vya waathirika wa ukimwi na madawa ya kulevya? Kwa huu unyeti wake na aina ya huduma wanazotoa hapo ni wazi kwamba ushoga si jambo jema kabisa. Kwamba ushoga ni ugonjwa kama yalivyo magonjwa mengine tajwa hapo juu.

Lakini kinachonishangaza kuhusu huu ugonjwa wa ushoga, mbona wanawapa vitendea kazi kama mafuta na kondom kuliko kuwaelimisha waache ushoga?

Kingine nilichobaini ni kuwa ushoga huooooo umeanza kuchomoza hadharani na kwa staili yake. Baada ya miaka mitano tutauona ushoga ni jambo la kawaida nchini kama hali ikiachwa hivi.

Nimalizie tu kwa kumnukuu huyo shoga aliposema, mboga saba... ya nane pilipili. Yaani mtoto wa kiume asidekezwe sana na wazazi kwani kufanya hivyo kutamuingiza katika majanga kama vile ushoga. Hiyo ni tafsiri yangu
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hahahahaha,Kumbe ulikuwa hujui hili la kitengo cha mashoga Muhimbili?
    Unavyoujua udaku hili limekushindaje,nadhani leo umeamka nao,na sasa si kazi uko muhimbili,mweeh!

    ReplyDelete
  2. Mungu naomba nilindie wanangu wewe ndo unayeweza mimi nawalea lakn sijui kama nawalea ipasavyo naomba uwajaze hekima na busara vichwani mwao uwaepushe na mabalaa na ushetani wa dunia Amen...

    ReplyDelete
  3. kipooo mlikuwa hamfaham. inabidi wasaidiwe tuu ili wasipate magonjwaaa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kuwasaidia ni kuwalea washenzi wa tabia hao, na hao wanao waingilia..

      Delete
  4. Tanzania yetu kila kitu siasa ukitaka kuamini uliza serikali wathibitishe hilo haki ya nani watakutoa meno.

    ReplyDelete
  5. Yani wewe mwandishi sasa ushoga wanaacha kwa kulazimishwa iyo ni iyari ya mtu kutoka moyoni,kuacha au kutoacha na wala mtu aachi siku moja,kama muhimbili wanachotoa ni aina ya prevention,yani wasiwe waathirika wa ushoga na ukimwi pia,make wanaelewa ilivyo ni kazi kuacha.

    ReplyDelete

Top Post Ad