Sentensi Tano za Yusuph Makamba Kwenye Mkutano Mkuu wa CCM

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Leo July 23 2016  Mjini Dodoma unafanyika mkutano mkuu maalum wa CCM ambao ajenda yake kubwa ni ya kumchagua Rais Dk. John Magufuli kuwa mwenyekiti wa tano wa chama cha Mapinduzi ‘CCM’. Baada ya hotuba ya Mwenyekiti wa chama hicho Jakaya Kikwete, katibu mkuu mstaafu Yusuph Makamba alipata nafasi ya kuzungumza na kusema haya……

'Askofu Gwajima alisema uongo kwamba Jakaya Kikwete hakutaka kumpisha Magufuli kuwa mwenyekiti' - Yusufu Makamba #MkutanoMkuuCCM
'Chama kinatoka mikononi mwa kada anayekataa ufisadi kiasi cha kumtosa rafiki yake Lowassa'- Yusuph Makamba #MkutanoMkuuCCM
'Chama kinakwenda mikononi mwa muasisi wa Mahakama ya mafisadi'-Yusuph Makamba #MkutanoMkuuCCM
'Wapinzani nataka mjue JK alikuwa anawabatiza kwa maji huyu ajaye atawabatiza kwa moto'-Yusuph Makamba #MkutanoMkuuCCM
'Rais Magufuli hakukataa ushauri alikataa vimemo kikiwemo cha kwangu, kuna mtu nilikuwa nampigia debe awe DC'-Yusuph Makamba #MkutanoMkuuCCM
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MZEE MZIMA AU KUBWA JINGA LAUMBUKA LOL....KUMBE NDO AKINA NYIE MLIOKUWAMNAMTUMIA VIMEMO, MWANANGU AU RAFIKI YANGU et.AWE FULANI AU FULANI YAANI SERIKALI KM YENU- SHWAIN TYPE NYIE...jpm ameaanza kuwabatiza kwa moto nyie makada uchwara wa CCM....KUDADADADEKI..

    ReplyDelete
  2. MZEE MZIMA AU KUBWA JINGA LAUMBUKA LOL....KUMBE NDO AKINA NYIE MLIOKUWAMNAMTUMIA VIMEMO, MWANANGU AU RAFIKI YANGU et.AWE FULANI AU FULANI YAANI SERIKALI KM YENU- SHWAIN TYPE NYIE...jpm ameaanza kuwabatiza kwa moto nyie makada uchwara wa CCM....KUDADADADEKI..

    ReplyDelete
    Replies
    1. Zee zima nalo senge tu. Fuck you Makamba

      Delete
  3. Huna jipya zeee wewe
    Ulimtia mimba wanafunzi wako ukiwa mwl
    Hata ulipokuwa katibu mkuu wa ccm
    Kulala na machangu doa
    New happy Mnazi mmoja
    Fyuuu
    Funga Domo lako

    ReplyDelete
  4. Ccm kimyaaaa dadekii mtaani kwangu sisikii shamra wenyewe wamenyoosha mikono siwaon mashabiki maandazi waliokuwa wanaimba acha waisome namba mamaeeee watu zzzzzźzzzz hakuna ushabiki utashabikia wakati hata hela ya kununua unga nusu huna hahhahaaha namba tutaisoma wote tuuu..na mpaka tuzikariri maisha yatatait mpka joto likimbie dar...

    ReplyDelete

Top Post Ad