Askofu Josephat Gwajima Amjibu Yusuf Makamba Kistaili.....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amemjibu Katibu Mkuu wa zamani wa CCM, Yusuf Makamba aliyemtuhumu kuwa ni mwongo, akisema leseni yake ni ya kuendesha magari makubwa siyo vibajaji na maguta.

Akihubiri katika kanisa lake jana, Gwajima bila kutaja jina la Makamba, alisema: “Siwezi kushughulika na vigari vidogovidogo nyie mnanifahamu, nina leseni ya kuendesha semi trailer …nadhani mmenielewa,” alisema huku waumini wake wakimshangilia.

Juzi, Makamba aliwaeleza wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM kuwa, Askofu Gwajima ni kiongozi wa dini lakini ni mwongo na kuwa uongo huo unawaudhi hata waumini wake ambao ni wanachama wa chama hicho.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwa elimu gani wee Gwagima hata uendeshe magari makubwa?
    Acha kuhuburi siasa,nenda na kasi ya YESU.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ksi ya YESU haiwezi kasi yake ni kutukana watu

      Delete
  2. GWAJIMA WE NOMAAAAA

    ReplyDelete
  3. Mpeni Mungu yaliyo ya Mungu mpeni Kaizari yaliyo ya Kaizari!!

    ReplyDelete

Top Post Ad