Mfanyabiashara Mohamed Dewji Apigia Simba Magoti Awaomba Muuzie Timu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mfanyabiashara Mohamed Dewji aongea na wanahabari. Aiomba Klabu ya Simba imuuzie asilimia 51 ya hisa kwa bilioni 20 ili alete mafanikio. “Kama unataka mafanikio kwenye mpira, hakuna zaidi ya fedha. Simba haiwezi kuwa na miaka 80 leo haina hata uwanja wa mazoezi. Alisema Dewji

Amesema bajeti ya Yanga na ile ya Azam FC ni mara mbili ya ile ya Simba, jambo linaloifanya klabu hiyo kuendelea kubaki kuwa msindikizaji.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwa harakaharaka tutasema sawa,lakini...........

    ReplyDelete
  2. HUYU NAE,KUFADHILI HAPANA BALI KUWEKEZA NDIO VYEMA?HAYA NGOJA TUONE.

    ReplyDelete
  3. MMMH,MBONA SIMBA HII IKO MIAKA 80 LAKINI HAIJAFA?WANASIMBA WENZANGU NA HASA WALE WASOMI TUTAFAKARI KWA KUIDADAVUA HII KIDARASA HASWA.

    ReplyDelete
  4. Huyu nae akajambe zake kule, hela za uwizi ndio anataka kuzitumia ili aonekane anasaidia nchi. Miaka yote alikuwa wapi. Watu wameanza kutumbuliwa majipu ndio anajidai anataka kununua yanga ili kusaidia timu. Kwenda mbele kule

    ReplyDelete
  5. alipoiacha simba alinunua singida united na ilimshinda kwa kuwa haikuwa brand kama simba ndiyo maana anataka kuinunua simba si kwa anayoyasema bali kwa faida ya biashara zake.

    ReplyDelete
  6. Jamani,jamani,Hii hela ya MO itatutokea puani simba,tuachane kusikiliza kelele za mashabiki kwamba timu ikifungwa na yanga au nani wanashabikia timu apewe mo,wao wanachotaka ni furaha tu hawaoni wa kufikiria athari za mbeleni.

    ReplyDelete

Top Post Ad