Mrema Atoa Mpya 'Nawashangaa Wapinzani Mnavyozira Ovyo, Kwetu Anayezira no Mwanamke, Wanaume Gani Nyie?'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mrema Afunguka:
"Tarehe 16 Saa mbili asubuhi nilipigiwa simu na Rais Magufuli akanambia anataka kunipa kazi sikuamini, wala Mimi sikukataa kataa kama nikasema na iwe utakavyo Rais, Mbatia na wenzake walinichangia kama Mpira wa kona mwaka Jana, nashangaa wapinzani mnavyozira ovyo!! Kule kwetu Vunjo anayezira ni Mwanamke, nyie mnakimbia yule mama Bungeni ni Wanaume gani Nyie??" Mrema

#MkutanoWaCCMDodoma kumpata mwenyekiti.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Fyuuuuuuu
    Kula matapishi
    Mtu mzima hovyoooooooooooo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ndio siasa ndugu,kama ni kula matapishi alienza kula matapishi nani kama sio UKAWA?
      Mlimtapika Lowasa na kila aina ya ushahidi KUWA NI FISADI. ajabu mkarudi kumlamba tena.Ohhhiiiiiii!HAPA KAZI TU.

      Delete

Top Post Ad