Msanii Ruby na Clouds FM Hapatoshi..Aikacha Show ya Fiesta Mwanza Kisa Maslahi Madogo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtandaoni wa Tizneez ametoa exclusive ya kwanini Msanii Ruby hakuonekana Mwanza wala kupanda katika jukwaa la Fiesta wakati alikuwa mmoja wa wasanii waliosajiliwa...
Hivi Ndivyo mtandao huo ulivyoandika
Exclusive Ruby Amezungumza mengi ila kati ya machache ni "Maslahi yamenifanya nisiende kwenye Fiesta, Kisa ni Clouds ndio nisiwe free na kuongea, end of the day it's not about clouds it's about my future.Katika shindano la super diva ilikuwa super diva mshindi atafanya Fiesta, wakati umefika lakini ntafanya Fiesta for nothing? Mimi sitaki kuongelea price ambayo naipata sababu nahisi nikiongea sijui watu watajiskiaje ukubwa wa show ulivyo. ...Tunakuwa na menejiment ambazo zinaendesha wasanii kimabavu, unadhani kwanini @jidejaydee wanamuita komando?? 

JE Mdau Unaona Huo Ndio Mwisho wa Ruby ? Au Clouds FM ndio wanamakosa... ?
Kwanza migogoro ilianza na Mkubwa na Wanawe , Sasa imegeuka kwa Clouds FM ambao ndio waliomtoa na kumkuza mpaka hapo alipo sasa....
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kuwa kama jideee komandooo ila unaopambana nao mmmmh Mungu na akusaidie tuu..akupiganie nahakika hutashindwa...

    ReplyDelete
  2. Muhamedi Machete,,,,weee Muoga wa maisha,,,,ajichimbie kaburi kwa lipi hasa,,,kama ana punjwa asisemee kisa ni msanii mchanga sana,,,,aliyetoa ni manani shida na Ridgiki zake,,,,kama ipo ipo tuuu na atatoka tu kwa style ingine,,,,Ruby Big Up look or your Feuture watakao ponda waponde tu.

    ReplyDelete
  3. Maisha Ni kujiamini mbona Kuna radio station kali tuu bongo na wangapi hawapigwi clouds lkn bado tunawaskia, rubby kipaji chako ndo kitakutangaza

    ReplyDelete
  4. Rubby uko sahihi....ni muda wa kujitambua sasa hao clouds ni wanyonyaji ukiwa zero kichwan utaishia kuzunguka Fiesta na kupigwa redion wakati mfukoni unabaki empty umaarufu nnyaa.......Fuata nyayo za Sugu na Jide utatoboa

    ReplyDelete
  5. Rubby umejitambua....

    ReplyDelete
  6. Hebu muulizeni Diamond alifikaje pale, kuna wakati ilibidi afanye show za bure ili apate kutambulika, muda wako ukifika hayo yote utayasahau...hebu muulize Millard Ayo alipoanzia, aliwahi kufanya kazi BURE yaani, BILA MSHAHARA.......tena anatoka nyumbani kwa miguu, hata nauli hata.......lakini alikuwa NAJITAMBUA nini anataka, sasa unamwonaje mtu-wangu-wa-nguvu?? Kama kweli Clounds ndio walomtoa huyo Ruby, angefanya hiyo show hata BURE......kama shukurani zake kwao.......utu unathamani kuliko pesa ..........

    ReplyDelete

Top Post Ad