Baada ya Ali Kiba Kusemwa Kuwa Anaishi Kwa Mama yake Kariakoo...Aamua Kuonyesha Nyumba yake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya kusemwa sana kuwa hana nyumba na anaishi kwa mama yake kko, hatimaye Ali Kiba. king kiba, King wa bongo flavour kaamua leo kuachia picha za mjengo wke uliopo Tabata thamani ya jiko la ndani ni milioni 19 soon nitawapa updates gharama za nyumba hii ambayo ni ghorofa na naamini ni kwake maana namuonaga hapo 
Pongezi kwa king kiba yooooh 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yaaaaaap hiki ndo kitu cha tofauti nachotaman staa awe nacho sio staa ana nyumba kama yangu tu...kuanzia tiles mpka bafu....unapoitwa staa basi uwe tofauti hata kidogo tu...

    ReplyDelete
  2. hizo picha za hiyo nyumba zimepigwa South africa, mbona wabongo mko hivyo? mnataka kujitanua na vitu ambavyo sio vyenu mnasema vya kwenu, kwanza alianza Diamond ooh nina nyumba South Africa kumbe hamna lolote na bado tu kakazania kuwa ni nyumba yake kumbe siyo wabongo kubalieni na hali ya maisha mnayoishi hata kama ukiishi kwa mama yako sio noma mradi una sehemu ya kuishi kuna wengine hawana kabisa sehemu ya kuishi wanaishi mitaani ambao hawana baba wala mama wala ndugu kwa hiyo msikufuru wengine waishio mitaani, nyie wasanii ni kioo cha jamii sasa mnaifundisha jamii kudanganya, haifai kwa kweli

    ReplyDelete
  3. kiba hana maneno ananyumba nzurii sanaaa kuliko za huyoo domooo ni nyumba ambayo kweli ni ya star sio maneno tuu kila anachopataaa ushamba mzigooo

    ReplyDelete
  4. hizo picha ni kutoka nyumba South Africa haipo bongo Kiba ni muongo sana ni muongo sana ni muongo, nakuimbia nyimbo kiba

    ReplyDelete
  5. Enter your comment...kiba anajitambua ndio maana hats soud brown alipo mhoji alisema hana Nyumba na anaishi kwenye Nyumba ya kupanga hongera king endelea kuwa Msiri kwani chako ni chako

    ReplyDelete

Top Post Ad