Sababu za wanawake kulia baada ya kufanya mapenzi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kulia baada ya kushiriki ngono au kufanya mapenzi ni kawaida na hushuhudiwa sana kwa wanawake, ijapokuwa imesemekana kuwa wanaume hulia pia.

Kulingana na wataalam, kuna sababu kadhaa ambazo humfanya mwanamke kulia au kujawa na huzuni baada ya kushiriki ngono, na mojawapo ya sababu hizo ni homoni ambazo mwili wa binadamu hutoa wakati huo.

Umewahi kushiriki mapenzi na kugundua kuwa mpenzi wako amelia tu, baada ya kipindi kirefu cha kufurahisha?

Kulingana na wanasayansi, ni kawaida.

Utafiti mwingine umeonyesha kuwa kati ya asilimia saba nukta saba na asilimia thelathini na mbili nukta tisa ya wanawake wamewahi kulia baada ya kushiriki mapenzi.

Mara kwa mara, wanaume hulia pia.


Mtaalam mmoja ameieleza hali hiyo kama 'hali ambayo mwanamke hushindwa kujidhibiti na kulia bila sababu, hasa baada ya kupandwa na raha ya kujamiana, au kufika katika upeo wa raha ya kujamiana (orgasm.)


Umewahi kudhani kuwa 'ustadi' wako ndio uliosababisha kulia kwa mwanamke baada ya kushiriki ngono? Pole sana!

Hata hivyo, mtaalam mwingine amesema kuwa ukweli wa mambo na mawazo yanayokuja punde baada ya kushiriki ngono kama woga, huweza kumfanya mwanamke kulia, ijapokuwa amesisitiza kuwa kulia kwa mwanamke baada ya kushiriki mapenzi ni kawaida!
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wajameni wahaya waliokulia na kuishi Bk ni watamu!!

    ReplyDelete
  2. HUNA LOLOTE, UTAMU NI MAJI? MI SIPENDI MWANAMKE ANAETOKWA NA MAJI MENGI KAMA NAFUA UKIFANYA TENDO LA NDOA KELELE KOCHOKOCHO!!!!!!!!!!! WANAWAKE WA KIHAYA NDIO WAKO HIVYO. MWANAMKE WA KINYAKYUSA BWANA NI WATAMU NIMETEMBEA NA WANAWAKE LUKUKI LAKINI KILA NIKIMPATA MYAKYUSA NACHANGANYIKWIA ANAKUPA MPAKA ANAKUPIGIA MAGOTI KWA HESHIMA ZOTE.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nakuunga mkono 100% sipendi mimaji inakuja hadi kifuani uchafu mtupu, mashuka yanalowa hatari mmmmhhh mnaopenda hongera zenu

      Delete
  3. Ndio utamu ni maji, ila kama wewe hujui shauri yako.

    ReplyDelete
    Replies
    1. We nilikutana na mwanamke wa kingoni walahi hatari uke una mikono yaani ukiingiza tu unadakwa inakamuliwa inaachiwa duhhh ebwana eee c mchezo

      Delete
  4. wewe uliyeandika kuwa wanawake wa kinyakyusa ni watamu na ndiyo maana hilo Kabila lao linaongoza kwa ukimwi sababu wanapenda sana kufanya ngono

    ReplyDelete
  5. mimi ni demu sijawahi kulia hata siku moja baada ya kutenda tendo la ndoa, hao wanaolia labda wanajisikia uchungu sehemu za siri baada ya tendo la ndoa

    ReplyDelete
  6. Kama Hujawahi Kulia Basi Hua Hufikishwi Kule Kunakopelekea Kulia.

    ReplyDelete
  7. ama kweli hii hutokea kwa wanawake wengi.

    ReplyDelete
  8. Mh kwa kweli unajua mwanamke ukolia ndo duh ila lwel mda mwingne MTU anakuwa anaumia ila kuma wemgne wanakuna htr

    ReplyDelete

Top Post Ad