Wema Sepetu, Jackline Wolper, Bosi wa GSM ndani ya China kunani?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwenye Instagram zao mastaa hao wamepost waki safiri toka dar siku moja na wote wamepost picha wakiwa dubai same day then wote wamepost wakiwa china same place Canton Kama Picha zinavyoonesha Location ila hawajapiga picha pamoja.. Ambapo mdogo wa GSM counselor Salaah amepost akiwa Canton fair na wema na wolper wakipost wakiwa canton railway station same area ila wamekuwa makini kutopiga picha pamoja au labda hawafahamiani. Au labda ma baby wao idriss na harmonize ndo wamegharamia safari yao ya china.. Au labda yule MCM aliyempost kawasponso



-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wanatisha minyama nyama inaninyia kila kona
    na hao wanaume wauza sura makuchuuuuuuuuuuuuu
    wala huuziiiiii

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe unachuki ya kibinafsi
      jisafishe kutu moyoni.tumia sabuni ya kupenda .sabuni hiyo ni Bure

      Delete
  2. Kumbe safari yenyewe Ni unga unga Dar Dubai canton. Uta jiju ukipotea uvhina kubwa aiseee wacha tu

    ReplyDelete
  3. Jamaani wacha tuwe wakweli hivi Tanzania hakuna wanawake wazuri? Jambo la kunishangaza huyu dada Wema Sepetu kuitwa mzuri kila siku Wema Wema Wema..mmhh hivi katika wazuri huyu ataitwa mzuri?!
    Maana katika wanawake wazuri hayumo hisabuni kabisa, si wa sura, si nywele si umbo, sitaki kwenda mbali sana nikaambiwa Mungu ndio aliye alie umba mja wake lakini hebu naomba fikra zenu hivi uzuri wa Wema upo wapi? au kuteremka manyama?
    labda tuukubaliane na ule msemo '' uzuri wa mtu kwenye jicho la mwenzake' ila jiko langu hapa nasema 100 NO.

    ReplyDelete
  4. We ulietoa comment hapo juu hata mdoli hujui kkuumba unajua kuumbua Rudi kwa mole wako utubu fyuuu yako kama kidonge qunini

    ReplyDelete
  5. Shorst nakuuga mkono huyo wema anauzuri gani hana shepu wala sura labda hayo manyama uzembe semEni kweli bora jaciline mzuri

    ReplyDelete

Top Post Ad