MREMBO Kim Kardashian Anajipanga Kuomba Talaka Kwa Kanye West....Adai Hana Furaha Ndani ya Ndoa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ndoa ya Mwanamuziki Kanye West na Mrembo Kim Kardashian Huenda inaelekea ukingoni baada ya Tovuti ya US Weekly Kutoboa siri kuwa KIM Kardashian inasemekana anajipanga kuomba talaka baada ya Kanye West atakapo pona , Inasemekana Kardashian hana furaha ndani ya ndoa hiyo kwani kwa sasa wanaishi nyumba tofauti .....
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. jamani nisaidieni kwani kanye anaumwa nini??

    ReplyDelete
  2. nauliza kanye anaumwa nini?

    ReplyDelete
  3. Hata kama kim ana mali si anataka apate mali zaidi ndiyo walivyo matajili hawatosheki na ukiangalia kwenye forbes kenya west ana pesa nyingi kumzidi kim kanye west ana milioni dola milioni 150 na kim ana dola milion 85 kim hawezi kumsginda hela rafiki wake wa zamani ambaye alimfanya kim ajulikane ambaye anaitwa paris hilton mwenye utajiri wa dola milioni 100 ingawa sasa hivi kim kampiku kimaarufu lakini paris hajali sababu yeye ni tajiri kumshinda kim mahotel yote ya hilton ni ya kina paris na yapo dunia nzima hapo kim anataka talaka ili amchune hela kanye na siajabu kanye alishajua mambo ya talaka ndiyo maana akachanganyikiwa na kulazwa hospitali ametoka hospitali juzi tu mke hana hata huruma anataka talaka

    ReplyDelete
  4. kwani kanye anaumwa?

    ReplyDelete
    Replies
    1. ANAUMWA NA UGONJWA UNAITWA BIOPOLAR.....SOMETIMES ANAKUWA POA SOMETIMES HAELEWEKI NI KAMA VILE DEPRESSION...

      Delete
  5. UDAKU PLEASE KANYE ANAUMWA NINI?

    ReplyDelete

Top Post Ad