MZEE Yusufu Kumtema Mkewe Baada ya Kugoma Kuacha Kuimba Taarabu Kama Alivyofanya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Aliyekuwa nguli wa muziki wa Taarabu nchini Mzee Yusufu inadaiwa na dada yake kuwa atampa mkewe talaka baada ya kugoma kuacha kufanya muziki wa taarabu na kumrudia mungu kama mumewe alivyofanya. maana sheria za dini ya kiislam zinataka mume akifanya jambo na mke amfuate Video:
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Udikiteta huo aache mziki akae nyumbani ili awe mtumwa wako....Wanaweza wa aarabu maana matajiri na sie maskini tunaiga.

    ReplyDelete
  2. Muache tu mie nitamuoa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tena naona ataolewa mara moja na hivi anavyojulikanika. Amweleze tu astafuu muziki. Swala la kusema achee musik na musik ndio unaompa ridhk ni kazi. Hata yeye mumewe kwa lugha nyingine sio kaacha Bali kastaafu kupiga musik kwa kuwa anataka apate muda zaidi wa kufanya ibada na kupunguza au kama si kuacha mambo ya kidunia. Hapo ni mstafuu au × musician.kwa kuwa kipato chake huko nyuma kilitokana na music

      Delete
  3. Kwanza muziki sio dhambi. Pili wokovu ni kwa roho ya mtu. Huchangii. Kila mtu anapata kwa wakati tofauti. Amwache naye ataolewa na mume mwingine anayependa muziki. Huyu mzee aoe mke mwenye imani kama yake. Simple.

    Tatu biashara gani mtafanya kupata kipato chenu. Au familia mtaendeleo kuuza nyimbo za utunzi wenu? Tusidanganyane jamani.

    ReplyDelete
  4. hahahaaaa mbona mali ulizozipata kupitia muziki km kiwanda cha matofali nk hujavizungumzia maana vyote hivyo ulivipata kwa dhambi ya kufanya muziki

    ReplyDelete
  5. bi leila my advise usiwape madui faida if i was you i will be so proud to quit singing maadam mume wangu hataki basi nameidhisha na kumridhisha mumeo unapata radhi ya mwenyezi mungu dada kubali wacha mlaani shetani mzee anakupenda sana

    ReplyDelete
  6. Mshenzi tuu huyo Hadija Yusuf mxiuuuu kumchukiA tuu wifi yakee,Lol..Roho mbayaaa tuuu!!! Mchawi huyooo ndoa zake mwenyewe zimemshinda muathirika wa ukimwi huyoo!!!

    ReplyDelete
  7. Wengine inaonesha wanakebehi. Eti atapata wapi kipato. Jee hicho kiwanda una hakika kakipata kwa shughuli ya muziki? Ikiwa uislamu si dini yako, bora usikebehi

    ReplyDelete
  8. fuata dini yako na Mwenyezi Mungu mambo asiyo yapenda uwache usiwasikilize watu na usimpe shetani mbele kumbuka kisa nabii Adam na Hawa Leila yako wapi mapenzi yako kwa mzee yusuf mumetoka mbali kubali tu na utaona mafanikio yake na furaha

    ReplyDelete

Top Post Ad