VIDEO: Rais Magufuli Akutana na Dangote Ikulu, Amhakikishia Mazingira Bora ya Uwekezaji

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rais Magufuli amemhakikisha mfanyabiashara wa Nigeria, Aliko Dangote kuwa itamwekea mazingira mazuri ya uwekezaji ili kuhakikisha kiwanda chake cha saruji kinaendelea kufanya kazi kwa ufanisi.

Rais amesema kuna ‘wapiga deal’ walikuwa wameingilia mradi wake huku Dangote akisema mwezi huu analeta malori 600 kwaajili ya shughuli zake na kubebea saruji na kwamba atanunua kila rasilimali kwaajili ya kiwanda hicho hapa hapa Tanzania. Pia amedai kuwa atatengeneza ajira zingine mpya zaidi ya 1,500.

VIDEO:
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Haya sasa yale majungumajungu ya wapiga deal sijui yataishia wapi #HAPAKAZITU

    ReplyDelete
  2. nilikuwa nasubiria hii kitu kwa hamu sanaa
    bora Magufuli umekata mzizi wa fitina

    HAPA KAZI TUU

    ReplyDelete
  3. hahaaa wameumbuka

    ReplyDelete

Top Post Ad