VIDEO ya Wimbo Muziki ya Darassa Yaweka Rekodi Nyingine YouTube

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rapper Darassa ameendelea kuweka rekodi mpya katika muziki wake kupitia video yake ya wimbo Muziki ikiwa ni siku 28 toka kazi hiyo iwekwe katika mtandao wa YouTube.

Wimbo huo umemfanya Darassa kuwa juu zaidi katika muziki kwa wakati huu kutokana na wimbo huo kupigwa katika kila kona ya jiji la Dar es salaam pamoja na Tanzania nzima.

Wiki hii video ya wimbo wake huo imefikisha zaidi ya views milioni 2,039,741 ndani ya siku 28 tangu iwekwe kwenye mtandao wa Youtube. Ni nadra sana kwa msanii anayerap kufikisha idadi hiyo ya views katika kipindi hicho.

Wimbo huo kwa muda mfupi umemfanya Darassa awe miongoni mwa wasanii wanaotafutwa sana kwa show wakati huu.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MIMI MWENYEWE HIYO NYIMBO INANIKOSHA SANA , KILA SIKU NAISIKILIZA NAAMINI KATIKA HUO WIMBO DARASSA AMEFICHA UJUMBE MZITO SANA KWA AJILI YA KIZAZI HIKI CHA MWENDOKASI!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad