Gossip, Politics And Love Affairs

Exclusive: Askofu Gwajima atoa cheti chenye matokeo ya kidato cha nne ya Daudi A. Bashite

Askofu Gwajima atoa cheti cha Daudi Albert Bashite (S0546/0016) na kusema kuwa alipata F masomo yote ya Sekondari hadi Bible Knowledge.

Matokeo hayo ni ya Kidato cha nne, Shule ya Sekondari Pamba.

Alama ni kawa ifuatavyo...
Civics - F
History - F
English - F
Geography - F
Biology - F
Kiswahili - F
Mathematics - F
Physics - F
Chemistry - F
Bible Knowledge - F


Source: JFTupe Maoni Yako

Post a Comment

TOA CHETI BASHITE

fake pastor huyo,hanajipya yamemkuta kavunja amri kuu ya sita..

AKAPIMWE DNA NA YEYE IANIKWE WAZI WAZI ILI WATU WAIONE..TUONE ATAKAVYO UMBUKA ..HIYO SI NDOM MICHEZO YAO HAO MAPASTOR FAKE..

SWALI NI MOJA TU. GWAJIMA ALISHUTUMIWA KUTUMIA/KUUZA MADAWA YA KULEVYA, AKAENDA, AKAPIMWA NA MKEMIA MKUU AKAGUNDULIKA HATU MII. MBONA BASHTE BAADA YA SHUTUMA ZOTE HIZI HAJAWEKA HADHARANI VYETI VYAKE? NA JE , KAMA GWAJIMA ATAKUBALI KWENDA KUPIMA DNA NA HUYO MAMA, BASHIE (ZERO) ATATOA VYETI????????

MUSICHOKOZE NYUKI.HAMA HUJIJUI USIMUUMBUE MWENZIO.UTAADHIRIKA.MASTER CARD INAJUA UNAFANYA SHOPPING WAPI UNAKULA NINI NA UNASAFIRI WAPI MARA KWA MARA.WEWE UNAJISAHAU.

[blogger]

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget