Msukuma - Sioni Tatizo kwa Mhe Nape Kuonyeshwa Bastola,Mbona Mimi Nilionyeshwa SMG Nane na Sikulalamika,Pia Aaache Kulilia kwa Kutenguliwa Kila Mtu Anauhitaji Uwaziri..!!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Akihojiwa Jana, Msukuma alidai kwa walichokifanya watu wanaodaiwa ni askari kumuonyesha bastola mhe Nape ni sahihi kwani kitambulisho cha askari yeyote ni bastola au bunduki hivyo Nape hakupaswa kuwa na shaka maana walikuwa wanamlinda. Msukuma alienda mbali zaidi na kusema hata yeye alionyeshwa SMG nane lakini hakuwa na shaka maana wale ni askari.

Aidha Msukuma Alisema Kuwa Mhe Nape Alipaswa Kutulia kwanza hata kwa miezi mitatau ndipo angezungumza aliyotaka kuzungumza.

Pia Amemsihi Mhe Nape Kuacha Hasira  mara baada ya kutenguliwa kuwa Waziri kwani wakati anaomba kura katika jimbo lake la Mtama aliomba hakuomba na uwaziri ,hivyo asilie kuenguliwa katika wazifa huo kwani bunge lina wabunge 360 na kila mbunge angependa kuwa waziri,hivyo kuenguliwa kwake katika nafasi hiyo inawapa nafasi wabunge wengine nao kuwa mawaziri siku moja na hata yeye anatamani kuwa waziri  
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. We pumbavuuu kweli wapi nape amelia...una chuki zako binafs na nape mixeeeeew kwahiyo askar hana sare hana nn kitambulisho chake ni bunduki bas hata mm ni askar sasa maana nina bastola si ndo kitambulisho changu hakuna haja ya driving licence wala kad ya kura wala nn kitambulisho ni bastola....kabla ya kuongea uwe unafikiria...unaropoka mnoooo mixeeeeew

    ReplyDelete

Top Post Ad