Tundu Lissu Afunguka..Amshauri Rais Atengue Uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Dar..

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kwa heshma na taadhima naomba nikupinge Mh. Rais: His name is Daudi Bashite not Paul Makonda. I hope hutonilaza ndani kwa kukupinga Mh. Rais Lissu....
Waheshimiwa wananchi wa Tanzania. Nimesikia taarifa za kuvamiwa kwa kituo cha habari cha Clouds Media.

Mkuu wa Mkoa katika nchi yetu sio kamanda wa kikosi chochote cha jeshi lolote lililoanzishwa kwa mujibu wa sheria.
Mamlaka aliyo nayo kwa mujibu wa sheria za nchi yetu hayajumuishi kuamrisha askari jeshi au polisi au usalama wa taifa kuvamia makazi au sehemu za biashara za watu.
Mkuu huyu wa mkoa hastahili kuendelea kwenye madaraka hayo kwa siku moja zaidi. Hana tena sifa wala maadili wala sababu za kuendelea kuwa kiongozi wa umma.
Namshauri Rais Magufuli atengue uteuzi wake haraka iwezekanavyo kabla hajachafua zaidi taswira ya serikali na ya Rais Magufuli mwenyewe.
Aidha, namshauri Rais Magufuli amchukulie hatua stahiki kamanda au mkuu wa kikosi chochote cha Jeshi lolote aliyeruhusu askari wake kutumiwa na Paul Makonda kwa namna iliyoripotiwa.
Tundu Antiphas Lissu, Rais, Chama cha Mawakili wa Tanganyika.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ASHAKIWE KAMA WAARIFU WENGINENA AKAMATWE MARA MOJA KWA KUNYANGANYA MALI ZA WATUHUMIWA WAKE KINYUME CHA SHERIA.

    ReplyDelete
  2. Huyu ndie Rais wa TLS anayefanya mambo based na habari za kwenye mitandao. Kwa mtu mwenye nafasi kama ya kwake inabidi afanye uchambuzi yakinifu na kuja na habari zilizothibitishwa na sio kuja na habari za eti nimesikia......... "Nimesikia taarifa za kuvamiwa kwa kituo cha habari cha Clouds Media." Kiongozi mzima wa TLS unaenda kumpinga Rais wa Nchi kwa Habari za kusikia. Dah aiseeee!!

    ReplyDelete
  3. Na hiyo kama sio akili kuchoka basi ni zile chuki dhidi ya Rais pamoja na Serikali anayoiongoza.

    ReplyDelete

Top Post Ad