Bifu la Mange na Jack Wolper Lafika Pabaya...Wolper Amjibu Mange Hivi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Bifu la Mange na Wolper lililoanza Jana ghafla linaendelea, Wolper Amjibu Mange Hivi :

"Mange Kimambi,Usinitafute sana kwasababu mm naishi nitakavyo sio utakavyo wala watakavyo,pili Ustar wangu nahisi hauna

mvutano wowote na ww wala haudhuru familia yako!Unajua ww unaweza ukawa sawa kwa kile unachokifanya lakini pia unaweza ukawa sawa kutokana na mawazo yako yanavyokutuma,Mimi binafsi nina maamuzi yangu na sipelekeshwi na mtu kwasababu mm ni mtu mzima na nina fikiria kila kitu kabla ya mtu yoyote!Ninapoamua kupost au kusema chochote hayo ni maamuzi yangu chuki zako ww zisipelekee kufanya kila mtu achukie usiowapenda no no no sio mm JACKLINE WOLPER MASSAWE,Nafikiri tunapishana vitu vingi sn km hivyo mm sina akili ww unazo,Sasa ww dada nikuulize kitu ulitaka mm nifanyaje nije ulaya kukusapoti tumchukie Bashite au???maana sikuoni kwenye point yani mm kila kitu kwako naona chuki 😂😂my dear people are different siwezi kumuona mtu mbaya eti kisa ww Mange umemuona mbaya haaaaaa we ni nani?????Ulikuwa na mchango wowote kwenye zile sh@h@w@ zilizompa mama mimba yangu????Kama ww vibabu vyako vya kizungu huko vinakupa M2 basi usifosi tufanane!Kingine mbona unapanic sn kwenye maisha ya watu binafsi kuliko hao watu wenyewe?Sawa najua kuchamba ni ajira yako ya pili huku insta tukiachana na ile ya kutafuta vizungu huko!Lakini sasa naona unatafuta kiki kila mtu umuweke kwa Acc yako,hiyo inaonesha wazi BASHITE ameshakushinda sasa umeona unifate mm 😂😂😂my friend sijaanza kuwekwa kwenye Acc za watafuta followers kwako 😉😉Nimeanza siku nyingi kweeeeli kwahiyo ww nakuona km Repoter tu wa huku Insta so fanya kazi yako mama,Alafu Naywamitego ndo haina gani ya gari jipya hiyo,😳😳Mm nadeal na ww leo sipo kwa ajili ya mwingine... 😆😆😆Mbona unaforce kutaka kujua mambo yangu na huku hujui,Eti nimefumaniwa nifumaniwe na nani mm mjini hapa habari isitapakae wkt unasema nimefumaniwa huna hata EVIDENCE ya chupi...Embu kanywe hata TREVO zile dawa uongeze supu supu za miguu bibi weeeeh usiniletee u SKELETON 😂😂😂Hivi unajua ww una stress za watu sn kuliko zako binafsi,😜😜😜Bashite ananitia vidole wakati huo ww unakua mshika K!s!M! Au vuz!😂😂😂Unajua ww ustake kuniambukiza stress zako na chuki zako STAKI usiniforce tufanane na usinipakazie mambo ambayo yanahusisha chuki zako.."
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wolper achana nae,Kukaa kimya ni busara ingawa yeye kwa akili yake atafikiria unamuogopa au kakushinda.Mtu ambae amagombana na nusu ya mastaa wa TZ unadhani anaweza kuwa yuko sawa?Tunakujua Wolper sio kawaida yako kugombana na watu,na inapotokea huwa mwepesi kuomba msamaha,wewe ni mtu wa watu tofauti na Mange.Vichaa sio lazima waokote makopo,mnyamazie dadangu.

    ReplyDelete
  2. mange anaongea ukweli kwanA ana hakikisha baadae ndio anatumbua jirekebishe bibi wolper

    ReplyDelete

Top Post Ad