Gossip, Politics And Love Affairs

Mrisho Gambo Aonywa


Jukwa la Wahariri Nchini (TEF), limetoa angalizo na  kufuatilia mwenendo wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo juu mahusiano yake na waandishi wa habari Mkoani humo.

ajitoa Tamko hilo Kaimu Mwenyekiti wa Jukwaa Hilo Deodatusi Balile amesema kuwa mwenendo wa RC Gambo wa kuwadhalilisha waandishi wa habari wanapokuwa kazini na matukio ya aina hiyo kumewafanya wafuatilie mwenendo wa RC huyo kwa vyombo vya habari.
Tupe Maoni Yako
Lebel:

Post a Comment

[blogger]

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget