• Hot Topic

  16 May 2017

  MUME wa Zamani wa Zari ni Mgonjwa..Zari Amtembelea Hospitalini


  Taarifa zilizonifikia ni kuwa aliyekuwa mume wa Zari Ivan amelazwa Hospital ini siku kadhaa sasa zimepita...

  Tuzidi kumuombea Ivan apone haraka....Pichani kushoto ni Zari Hassan akimjulia hali baba watoto wake...
  .
  .
  Get well soon Ivan

  2 comments:

  1. Huo ndio ubinadamu

   ReplyDelete
  2. AMEZAA NAE KWA HIYO MAPENZI YA KUONEANA HURUMA LAZIMA YAPO.

   ReplyDelete


  Mapenzi

  Hot Gossip

  Siasa