Lulu Diva Akanusha Kujichubua Afunguka Mboga Mboga Zinavyo Badirisha Ngozi Yake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Lulu Diva Akanusha Kujichubua Afunguka Mboga Mboga Zinavyo Badirisha Ngozi Yake
Msanii wa Bongo Fleva anayetamba na ngoma ya 'Give it to me', Lulu Diva amekanusha zile tuhuma za yeye kujichubua ngozi yake na kudai kinachofanya aonekane kuwa mweupe ni kutokana na kula mboga za majani na matunda kwa sana.

Lulu Diva ameeleza hayo kupitia kipindi cha Planet Bongo kutoka East Africa Radio baada ya watu wengi kuanza kumuoneshea vidole kuwa anajipiga kitaulo (anajichubua) kwa maana rangi yake ya awali haikuwa hivyo.
"Unajua kwamba msanii unatakiwa uanze kujitengeneza mwenyewe kuanzia mwili wako, ngozi pamoja na vitu unavyokula. Naweza sema nakula sana mboga mboga na matunda, kuna baadhi ya vyakula vinasaidia hata kung'arisha ngozi", amesema Lulu Diva.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Maeneo Mengi ndani ya nchi yetu hasa vijijini wanakula sana mbogamboga na matunda lakini ngozi zao bado ni za asili (Nyeusi) atuambie namna anavyoandaa

    Kule unyakyusani wana kula sana machungwa, mapapai, maembe, maparachichi na mbogamboga lakini ndiku kuna watu weusi zaidi.

    Naomba scientific proof isije kuwa kama bwana maji Mengi yule msanii wa bongo movie

    ReplyDelete
  2. mkorogo tu huyo hana lolote la kujitetea kwa sababu ni mwili wake ana uhuru wa kuufanya hata wa kijani

    ReplyDelete

Top Post Ad