Wolper Akinukisha Atoa Povu Zito Kwa X Wake Amuita Muimba Taarabu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wolper Akinukisha  Atoa Povu Zito Kwa X Wake Amuita Muimba Taarabu
POVU alilolitoa Diva anayetikisa kiwanda cha Bongo Muvi, Jacqueline Wolper kwa X- wake, kupitia ukurasa wake wa Instagram, ni povu ‘hevi’, kiasi kwamba hata kama ni nguo chafu kiasi gani lazima zitatakata kwani amemuita ni muimba Taarab.

Kwa mujibu wa mashabiki, hasira za mkizi zilimkamata Wolper baada ya X- wake huyo kuwa anamfuatilia mara kwa mara kwenye 18 zake, kiasi cha kumsababishia mpenzi wake wa sasa anayejulikana kwa jina la Brown, kupaniki na kuhisi labda huenda, wawili hao bado wana uhusiano wa siri.


Posti Ya Wolper Kwenye Ukurasa Wake Wa Instagram
Baada ya posti hiyo ya Wolper, mashabiki wakashusha komenti kibao. Wengine walimpongeza kwa kutoa kichambo hicho, wapo waliomkosoa na kumwambia kwa nini hizo siri hakuzisema kipindi walipokuwa pamoja, na wengine waliishia kusema kwamba mapenzi ya mastaa wa Kibongo ni ‘kizunguzungu’.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad