Jack Wolper Hana Bahati...Penzi lake na Kiben Ten Brown Laota Mbawa...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Duniani kuna mambo, Ile couple ya Amber Rose na 21 Savage ya Bongo inayomuhusu muigizaji wa filamu  Jackline Wolper na Brown dezaini kama limekufa hivi.

Wawili hao ambao walionekana wakiwa wameshibana kimahaba sasa kunonyesha kama kuna hali ya kutokuwa sawa hii ni kutokana na kuwa  mrembo Wolper hakuonekana na mpenzi wake huyo aliyerithi mikoba ya Harmonize,  katika private party ya Diamond Platnumz usiku wa Jumatatu(02/10/2017) katika hotel ya Hyatt Regency.

Pia ukiitazma akaunti ya mtandao wa kijamii wa Instagram, ya Bff wa Wolper  amemu-unfollw mrembo huyo na kufuta picha zote walizowahi kupiga pamoja  ama kumpost.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad