Video: Nimekuja Dar kwaajili ya Danube sio Diamond – Zari

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mama watoto wa Diamond, Zari The Bosslady ametua jijini Dar es salaam jioni ya leo akitokea nchini Afrika Kusini kwaajili ya kuzindua duka jipya la bidhaa za nguo, Danube.



Mrembo huyo ametua katika Uwanja wa JK Nyerere International akiwa bila mtoto wake mdogo Nillan kitendo ambacho kimeonyesha huwenda mrembo huyo ajafika kwaajili ya Diamond na ni kwa muda mchache.

Akiongea na waandishi wa habari muda mchache baada ya kuwasili, Zali alisema amekuja nchini kwaajili ya uzinduzi wa duka la Danube sio kitu kingine

“Nimekuja Tanzania kama balozi wa Danube sio Diamond. Kwahiyo nashukuru kwa upendo wetu, na tuendelee kutumia bidhaa za Danube,” alisema Zari.

Zari amewataka Watanzania kujitokeza kwa wingi Mlimani City jijini Dar es salaam siku ya kesho kwaajili ya uzinduzi wa duka hilo.

Wawili hao waliingia kwenye mgogoro mzito wa mapenzi baada ya Diamond kuchepuka na mwanamitindo, Hamisa Mobetto na kufanikiwa kupata mtoto mmoja.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. sasa hao kina lendnjaa. wanavyo jipendekeza hawajui nn kinaendelea? kwani toka lini Zari aje bongo bila Dai kuja kumpokea na nyimbo za mahaba juu. ila Mama Dangote anajua kucheza na akili za bi masumbuko, hivi hamjui Sanyura kamaliza daa yoote na wahuni wa kariakoo woote kashaishi nao.

    ReplyDelete
  2. hee hee bi masumbuko kujidai kisebu sebu ataramba matapishi yake nyie muangalieni tu karowa hapo haoni kwingine ila uje tu ulikuwa unadanganywa na wema pia maskini lakini wewe mwenzangu uliona umepata ulivomyakulia wema kumbe umepatikana hio staili ya hamisa nimeipenda ni kuigwa duuh kanyamaza kimya anakula good times kakuacha bi masumbuko uhangaike mwisho wa siku muna share mti moja hee hee nicheke mie

    ReplyDelete

Top Post Ad