Vikosi Vya Usalama Vyaokoa Hotel ya Nasa-Halblod Iliyovamiwa na Al-Shabaab

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Vikosi Vya Usalama Vyaokoa Hotel ya Nasa-Halblod Iliyovamiwa na Al-Shabaab
Vikosi vya usalama vimefanikiwa kuikomboa Hoteli ya Nasa-Hablod iliyokuwa imetekwa na Wapiganaji watano wa Al-Shabaab. Wanamgambo hao waliivamia hoteli hiyo baada ya kulipua mabomu wliyoyatega katika gari dogo nje ya lango la kuingilia.

Kufuatia shambulio hilo watu 23 wameripotiwa kuuawa. Vikosi vya usalama vilifanikiwa kuikomboa Hoteli hiyo baada ya kufanikiwa kuwauwa Wapiganaji hao pamoja na kuwakamata wawili.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad