Baada ya Kufanikiwa Kufunga Ndoa na Shilole Uchebe Aandika Ujumbe Mzito Kwa Ndugu wa Shilole

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya Kufanikiwa Kufunga Ndoa na Shilole Uchebe Aandika Ujumbe Mzito Ndugu wa Shilole
Siku ya Jana Ilikuwa ni siku ya furaha na ya kumbukumbu kwa msanii Zuwena Mohamed ‘Shilole’  na mpenzi wake Ashraf Uchebe waliyefunga  ndoa, usiku wa kuamkia leo maeneo ya Masaki  jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo

Staa huyo alikuwa akisisitiza kufunga ndoa mwaka huu lakini watu walikuwa wakichukulia poa kwa sababu si mara ya kwanza kutoa kauli kama hiyo lakini jana Desemba 6 akafanya kweli.

Baada ya kukamilika kwa ndoa hiyo mume wa shilole Uchebe ameamua kuonyesha wazi kilichomuumiza siku ya jana kutoka kwa ndugu wa mkewe ambao walisusia ndoa hiyo na kuamua kuwaandikia ujumbe mzito kupitia ukrasa wake wa Instagram.

Uchebe ameandika Hivi "Naomba nitoe shukrani kwa wote mliokuja kuudhuria sherehe yangu nhii ndogo ya kumuoa mwanamke wa maisha yangu zuwena japo sherehe haikuwa kubwa kama za mastaa wengine ila kwa mungu ni kubwa maana tumeachana na zinaa ... ila naomba nitoe masikitiko yangu kwa ndugu wa zuwena  waliomsusia zuwena ili sherehe  eti awataki mimi nimuoe jamani zuwena na mimi wote ni watu wa zima haina haja ya kuchaguliana mke au mume Zuwena ameniridhia na mimi nimemridhia ajabu ndugu zake walimpokonya simu yake  eti kuzuia harusi... kwamba tusiwasiliane ila mungu akipangabinadamu hana nafasi nashukuru mke wangu kwa kutumia kila mbinu ili mradi hii ndoa ifungwe  ingawa ndugu zako walipinga asilimia 100 ila ulipania unachokiamininakupenda mke wangu... asante kwa kuamua kuwa mke wangu na kubeba mimba yangu karibu utanizalia mtoto ... nakupenda zuwena wangu"
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hiyo mimba yako uchebe km aliweza kulala na mwanaume nyingine wiki moja kabla ya ndoa duu pole mdogo wangu ila kuchamba kwingi na kujua kwingi............. fungate jema

    ReplyDelete
    Replies
    1. Weee anon. Hapo juu, mimba ikiwa ya uchebe au Sio ya Uchebe ndio yake tena Kwani ndio mke wake kitanda hakizai haram, Hongera kwa Arusi Uchebe na mke wako

      Delete
  2. SHILOLE AMEOWA JAMANI, MIMI NILIJUA NI MAIGIZO KUMBE NI KWELI HONGERA MAMITO KWA KUMUOWA KIJANA MZURI KM UCHEBE

    ReplyDelete
  3. Umaskini bwana huwa unaumbua kweli

    ReplyDelete

Top Post Ad