AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
“Niliona ni muhimu zaidi kwa mimi kuwa na furaha, “ aliliambia jarida lijalo la Rolling Stone. “Sikutaka kuacha mtazamo wa mtu yeyote hata kama ni kosa, ni kosa.”
Katika toleo hilo litakalotoka kesho, Rihanna ameelezea vitu vilivyobadilika kati yao.
“Unatuona tukitembea sehemu, tukiendesha sehemu, tukiwa studio, tukiwa club, na unadhani unajua. Lakini ni tofauti sasa. Hatuna majibizano kama ya zamani tena. Tunaongea kuhusu mambo. Tunathaminiana. Tunajua fika tunachokataka sasa na hatutaki tukipoteze.”
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Mbulula tu
ReplyDeletenoh!c o kabixa
ReplyDelete