AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
KABAANG! Hatimaye staa wa fi lamu za Kibongo mwenye heshima tele, Jacqueline Massawe Wolper amenaswa ‘laivu’ akiwa amepiga picha na Bikini.
Staa huyo aliyekuwa pekee hajapiga picha ya namna hiyo kati ya mastaa wa kike wanaotamba katika tasnia ya fi lamu hapa Bongo.
Wolper alinaswa na paparazi wetu katika sherehe ya ‘bethidei’ ya msanii mwenzake iliyofanyika hivi karibuni Ubungo jijini Dar.
Siku za nyuma, staa huyo aliwahi kukataa kupiga picha kama hiyo alipotakiwa kufanya hivyo na paparazi wetu katika ufukwe mmoja jijini Dar.
Wolper aliapa kamwe hataweza kupiga picha ya namna hiyo katika maisha yake yote na
Source: Global Publisher
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Amna wolper ajapiga pic ya utupu ila ni mavazi 2 ya ufukwe ila hao ma papa radhi ndo wanataka kumvunjia heshima mwana dada uyo kwa kumdhalilisha ili nae aonekane si chochote waelewe kwamba si wote vichwa vibovu kama wao
ReplyDeleteJamani...angekua amepiga nayo sehemu nyingine tungekubali...lakini yuko swimming kwenye pool party mlitaka aogelee huku kavaa jeans???
ReplyDeleteUshamba tu unawasumbua
Stop being ignorant and small minded!this is not the 18th century so stop leaving in the stone age!
Ilo vazi hapo ndo mahali pake achen umbea
ReplyDeleteMbona ni picha ya kawaida tu jamani acheni kufatilia visivyowahusu
ReplyDeletewatu wengine ka machoko at wanaxhangaa hiy pic! Mulitaka aogelee na suti!?? Achen uchoko
ReplyDeleteSasa huyo hapo chini yake alikua anataka kumnyonya au.hahahahaha mapozi mengine jamaniiii
ReplyDeleteSasa huyo hapo chini yake alikua anataka kumnyonya au.hahahahaha mapozi mengine jamaniiii
ReplyDeleteSasa huyo hapo chini yake alikua anataka kumnyonya au.hahahahaha mapozi mengine jamaniiii
ReplyDeleteKwan hao wngne huwa wanapga wap si ni sehemu km hz? Asiandikwe yeye nan km kafanya kituko? Hana lolote muuza sura km wakivyo hao wngne
ReplyDeletembona kawaida
ReplyDeleteHamna lolote mnamchokonoa tu kumtafutia skendo hapo ni mavazi sahihi mahali sahihi,nyie ndo mmekuwa wajinga
ReplyDelete