Nina Mika 20 Sijawahi Fanya Mapenzi ila Nahisi Bikira yangu Haipo Je ni Kawaida?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Naitwa Nancy Naishi Kijitonyama , mimi ni Msichana na Miaka 20 nimekuwa nikijitunza kwa muda mrefu ili kutunza Bikira yangu kwa mwanaume atakaye nioa mungu akijalia ...so sijawahi fanya mapenzi na mtu yoyote japo napata vishawishi vingi....Saa zingine nikisikia hamu huwa najisugua kwa vidole sehemu zangu ili kutoa hamu....

Sasa hivi karibuni nimehisi huku chini hapako tight kama zamani hata nikiingiza kidole kinaingia bila shida sasa naogopa je Bikira yangu imeshatoka au ni kawaida? na je kujishika kwa vidole sehemu hizo kunaondoa bikira? 

Please naomba ushauri.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ushajibikiri mtoto

    ReplyDelete
  2. Habari ya bikira kwisha hapo we wape wa2 wagonge mzigo huo

    ReplyDelete
  3. nadhani watu hawaelewi nini maana ya bikra!

    ReplyDelete
  4. Jitunze na mambo yavidole uache.mgeukie Mungu.

    ReplyDelete
  5. To abstain c kujikomelea vdole.it starts with ua mindset and how u involve uaself on issues relating to sex.chunga kind of frnds u hang with,tubu,relax whle pryng to God for mr right.

    ReplyDelete
  6. mi naskia tu kuwa kuwa kuna bikra ya njee na ya ndani pengine ya nnje imeshotoka lakini uko ndani bado endelea kujisuguwa coz unaepukana na mingi hiyo ni njia moja wapo ya kupunguza dada kuliko kutamani tamani

    ReplyDelete
  7. Hongela kwa kujituza ila bikra yako imetoka

    ReplyDelete
  8. Tehe, tehe, tehe, endleza mchezo wako mpaka uimalizize yote kwa kidole

    ReplyDelete
  9. Hongera sana dada. Hebu nipe mimi hiyo zawadi nono.

    ReplyDelete
  10. Nancy, naona wengi wameandika shauri zao nyingi, sasa siyo wote waweza kushauri ipasavyo ila ningekushauria ukutane na wazazi wako wa kike au bibi iliupate ushauri ulio sahihi,
    Pili, kwa jinsi ulivyo elezea inaashiria kuwa bikira yako imetokana na kujichua mwenyewe kwa kutumia kidole, maana kidole chako chaweza kuwa sababu ya kuvunja ubikira wako.
    Ingawa kuna ugumu hapa kuamini kwamba wewe ni bikira kutokana na uvaaji wako, na ukweli wewe unaujua.

    ReplyDelete
  11. Sasa unasema hujawahi kufanya mapenzi,wakati unajitoboa na vidole .unadhani mapenzi ni nini?

    ReplyDelete
  12. nancy yan hapo umeitoa tayar mdau machmbo.

    ReplyDelete
  13. akuna jipya wape machizi wakitaa chenu wafanye yao wata2pa majibu kama bikra imesepa au bado ime seto

    ReplyDelete
  14. mwanangu bikira huna kwn mtu akiwa na bikira hajisafishi kwa kujitia vidole,itatoka.pia kujitia vidole ni kosa ingawa bikira inaweza kutoka hata kwa kutuka na michezo mingine ya kuruka ruka.sikushauri ufanye ila acha kujichua tena hali yako ya ubikira itarudi

    ReplyDelete
  15. Mh, hua yawezakuwa mazingra ya michezo na kazi ngumu!

    ReplyDelete
  16. Enter your comment...hatareeeeee

    ReplyDelete

Top Post Ad