Sandra Akanusha Kupigwa Talaka.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mwigizaji wa kike  wa Bongo Movie almaarufu kwa jina la Sandra ambaye kwa siku za hivi karibuni tuliwahi kurusha habari za kupigwa kwake talaka na mumuwe amekanusha habari hizo kupitia kipindi cha HOt MIX  cha luninga cha Channel 5
Sandra kupitia kipindi hicho alisema yeye hakupewa talaka kama  inavyosemekana kwenye jamii na wala hajaachana na mumewe  na ukweli ni kuwa ndoa yao haina matatizo na  wanapendana hayo ni maneno ya uzushi ya watu wasiopenda kuona wao wakipendana
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad