AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Bint aliyejulikana Mariam umemkuta umauti baada ya kubakwa mpaka kufa,vijana hao waliokosa utu na kushindwa kumuogopa Mungu walifanya kitendo hicho mbele ya eneo la kanisa(Voda st)Nachingwea Lindi.Marehemu akitoka Nachingwea Resort(NR) ktk muziki cku ya ijumaa.Inasadikika marehemu alilewa na wabakaji alitoka nao muziki.
----
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK
Tusali sana maana hizi ni dalili za mwisho wa dunia
ReplyDeleteDa! hii kali, polen sana wazazi waliopatwa na msiba huu, pia iwe fundisho kwa wale wazazi wanaowapa uhuru watoto wao kupita kiasi
ReplyDeleteMUngu wangu huo ni unyama wa kupitiliza, hao waliofanya hilo tukio wakamatwe na wahukumiwe
ReplyDeletedo watu wameshindwa kutafuta pesa sasa wanatafuta roho xo tupige magoti tusali hali isha kuwa tata
ReplyDelete