Diamond"Ni kweli Nilimrecodi Wema ila Sioni kosa Langu Siwezi Mwomba Msamaha"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Skendo iliyokuwa ikiendelea mtaani kuhusu msanii Diamond na tuhuma za kumrekodi aliyekuwa mpenzi wake wa zamani mwanadada Wema Sepetu, msanii huyo amekir kuwa ni kweli alifanya tuhuma hizo kwaajili ya kulinda penzi lake.

 “Hivi karibuni Wema amekuwa akinipakazia mbovu kwa mpenzi wangu Penny akiwa na leno la kutaka kuni haribia juu ya mimi na mpenzi wangu, nilichukia sana kwahiyo siku alivyoamua kunipigia simu ndipo niliamua kumrekodi ili kumsikilizisha Penny ambaye alikuwa haniamoni kabisa” Alifunguka Diamond.

Sauti hiyo ambayo ilitoka kwa Wema Sepetu ikiwa inambembeleza Diamond waweze kurudiana pamoja kwakuwa bado anampenda, Diamond amekiri kuirekodi hiyo sauti lakini amekana kuisambaza mitaani na hajui nani kafanya hivyo.

“Lengo langu kubwa ilikuwa ni kurekodi sauti hiyo  na kumsikilizisha Penny, sasa ambaye aliichukua na kuisambaza mitaani sijui ni nani, lakini hata mi sikujisikia vizuri nilipoisikia mitaani maana sikupenda hali iwe hivyo lakini ndo sina jinsi” aliongeza Diamond.

Baada ya kukiri kujutia, Diamond aliambiwa aombe msamaha Live ili Wema asikie ila alikataa na kusema hawezi kumuomba msamaha maana haoni kosa lake.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

30 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ixhu ya kusambaza atakua anahucka,kama c yeye ni penny au hiyo cmu yake anasheaga na wa2?

    ReplyDelete
  2. Huyo ni mnafiki kaona watu wanamponda ndio anajitetea. Kwanza huyo Wema mwenyewe hata hajasikika zaidi ya yeye domo na huyo Pencel wake. Yaan domo huwezi mfikia Wema hata siku moja utamaliza waganga wote ila Wema atabaki kuwa Wema.

    ReplyDelete
  3. acha masuala ya kishamba dimond, xaxa kama c ww ulosambaza hzo habar ni nan nakat cm una2mia we mwenyewe?

    ReplyDelete
  4. Jamaa muongo cjapata ona khaaa...cmu yako ni ya kijiji nini??? Duh
    Yani bonge la changa la macho

    ReplyDelete
  5. acha kuzuga kama sio wewe basi huyo huyo Penny wako,umetuaibisha wanaume wenzio huna hata haya bro.sina hamu tena nan kuckiliza nyimbo zako.

    ReplyDelete
  6. Usimdalilishe dem wako kitambo hata kama mlikosana. Usisahau mlikuwa item one time. Penny usijigambe mchama ago hanyeli wenda akauya papo!

    ReplyDelete
  7. Hlo dume sasa hv litakua gay anakoelekea mxiiiiiii,pyuu

    ReplyDelete
  8. Hatuna haja ya polojo zako kwenda zako,ujue kujpoteza mshabiki mmoja ni hatari,jipange upya ama sivyo muombe wema msamaha live

    ReplyDelete
  9. Hana lolote huyo,alidhani watu watafurahia alichofanya badala Yake watu wamemuona mshamba sasa anakuja na neno jipya eti hajui aliyesambaza Kama sio unafikii,nasubiri kwa Hamu siku ya penny kunyolewa kama wenzake,mungu awatunze tu la sivyo itakua noumerrrrrrr,ntachecheka Sana

    ReplyDelete
  10. bamkubwa wacha uongo jamani,unareodi ili umsikizishe mpenzi wako wakati alikua hapo na wewe na yeye kasikika akiongea na wema...wacha kutafuta vizingizio umeisha banwa kwa kona omba msamaha,kwani mtu akiwa bado anakupenda ni kosa...Wacha ushamba unajiaharibia jina wangu ....Wema we achana na huyu kimavi move on mungu atakujaalia ukapata mnae faana sio huyu kimavi..and to the other idiot anae jiona ame win u have lost big time love kama kamfanyia mwanamke mwenzio hivyo je kwa wewe atashindwa ..Think twice young lady.

    ReplyDelete
  11. mmmmmmmmmmmmmm9

    ReplyDelete
  12. inaelekea huna washauri wazuri..kitendo icho cha kusambaza hiyo record ulizan wa2 watafurahia..aina tofauti na mlivyovuaga suruale kwenye show kwa kuzan wa2 watafurahiya,hatmaye wa2 kukuhisi vbaya..kama v2 vyako unavyovfanya kuna washaur wanakuxhauri..basi hao ni washaur wabaya

    ReplyDelete
  13. Eti hujui aliyeisambaza, ina maana ulitumia simu ya public?? acha ushamba wewe, ulifikiri utasifiwa kwa ulichokifanya?? kumbuka malipo ni hapahapa duniana

    ReplyDelete
  14. Nyie wote mnao mkandia diamond na wema yakwenu mna kandiwa kama hivyo, waacheni wamalize wenyewe

    ReplyDelete
  15. una jipya dimondo kumbuka mapenzi ni kueshimiana hata yy anayajua mapungufu yako ukianza kumdhalilisha aliekuwa mpenzi wako unaona ni sawa! jifikirie mara 2 mbona yy hajakudhalilisha kwa lolote. kwako penael kumbuka dimondo alisha mdhalilisha wema kwa ajili ya joket. yuko wapi mpaka sasa. nawe uwe na akili mwanaumwe anaekupa story za x wake jua na zako atazitoa tu si mwanaume. kama kuzaa ndio unafikiri ndio tiketi ya kuolewa dada jipange upya hakuna muoaji hapo angekuwa na nia palepale ulipopata mimba angetoa barua aoe mtoto azaliwe ndani ya ndoa.

    ReplyDelete
  16. Acha zako bloo uctufanye c watoto yani mtu unaongea uongo unanukia na kunukia eti cyo wew idiot sas ninani mh!! tatizo lako wewe blabla nyingi kaa cd ime kosea mwendo??

    ReplyDelete
  17. sasa anatafta umaarufu wa kijinga

    ReplyDelete
  18. Diamnd fuata unachopenda ww cio wanachkipnda wa2

    ReplyDelete
  19. Diamond uwe na utumie AKILI, maana inaonekana kama unatumia MATAKO kwenye mambo yako.

    ReplyDelete
  20. dimond we ni msenge tuu,yan mshamba huna lolote,kuna mtu ambae atakusambazia habar kwa mtu thru ur own 4ne?we fala nn,huo utetez unaosingzia kawaambie watoto wa shule ya vidudu kuma wee......CHAI JABA,Af u knw wat u are such a scum and a parasite.......FUCK UR ASS 1OO tyms

    ReplyDelete
  21. Usijishaue et umsikilizishe dem wako na aliekua anaongea na wema thru ur 4ne who was that again u less bian?the shit tht u kip sayin the more dis u get,mwanaumme halis hawez kufanya kitendo ambacho ww umekifanya,na hata ufanyaje hauwez kumuharibia wema kwa kuziba ulichokifanya wewe na uwoya mke wa mtu..........WAT KIND OF EG ARE U SHOWING TO THE MASS?kumamako huna lolote usijitetee kwa lolote

    ReplyDelete
  22. tushazoea nowdayz, msanii anaji get himself/herself into somethin yhinkn its ryt to him n the fanz bt ryt after it has a negative respond from fanz they start pleedn they arn't guilty..it z well know that usually bongo artist leak some videos or crazy audio by themselves n then after they claim not to be involved...Diamnd u have to accept n ask for apology thats how we go, what was expectd hasnt show up, fans arnt supportn u in this

    ReplyDelete
  23. Anajidai alikuwa anataka ampe penn asikie mbona huyo penn alikuwepo na yeye pia aliongea na wema. huo ni umburula tu. Ngoja na wewe waje warekodi simu zako unazoongeaga na waganga wako wazirushe hewani. MBULUUULAAAAA!

    ReplyDelete
  24. We ndo mjanja kama kng'ang'anz waitaka ufanyaje? Aache shobo na kujitongozesha kwa wanaume! We n jembe Kazi na dawa!

    ReplyDelete
  25. ampaswi kumlaumu diamond bali mnapaswa kumpa ushauri jaman yy mwenyewe akutegemea

    ReplyDelete
  26. wabongo kwa kuongelea mambo ya wa2,mbona yenu hamuyatoi inashangaza kuona midume yenye akil timamu kushadadia mambo ka wanawake bwana,hujui dis ndo inamweka m2 juu,hao wote wana hamu ya kuwa juu Anytime hamna cha Wema wala Mawe hapo,(WEMA )nae kwanza bichwa ndo linamvimba mnavyomcfia ujinga,Afu miji2 mingine eti kuanzia leo czikilzi nyimbo zake wakat umehfadhi kwenye flash,cd anytime ukijisahau unackilza,sawa na kufuta namba ya mpenzi wako wakat umeishika kichwani,2fanye kaz 2ache Umbea ka UHEAD ya Gossip cop(Clouds radio)----na Mshikaj kwa taarifa yenu atang'ara day after day labda Sir God amchukue.BADO UNAISHI KWA WAZAZI WAKO HAFU UNADISS WENZAKO PIGA KAZ NA KA UNAFAMILIA SUGUA AKIL UONEKANE KWELI UNAJIELEWA

    ReplyDelete
  27. duh wema nipe namba yako ya simu nikupe ushauri mi mwanamke mwenzio my email address johan_jons@yahoo.com yani just try to chart with me really you will get relief i hate this diamond kwanza sura mbovu katika wasanii wote ye ndio mbovu secondly hana hata man body ambayo ya kuvutia labda hizo nyimbo zake but in reality bora 20 percent ana mvuto

    ReplyDelete
  28. Diamond unatumia matako kufikiria..shame on u

    ReplyDelete
  29. just when i thought this guy couldn't get more stupid...eti amsikilizishe demu wake wakati huyo penny mwenyewe alikuwepo hapo...there is something called "loudspeaker",why not use that so huyo penny akasikia ur convo..this was "premeditated"..u recorded her for the purpose of spreading it... we ni mjinga...be a man(at least wats left of it) and apologise...

    ReplyDelete

Top Post Ad