Dna Inaniambia Mtoto wa Kiarabu ni Wangu wakati Wazazi wote Waswahili

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Nimepatwa na mshtuko baada ya kupata majibu ya DNA yakionyesha mtoto niliekuwa na wasiwasi nae kwamba nimebambikiwa ni wakwangu tena kwa asilimia 99.99%.....ilikuwa hivi, mimi ni mtanzania kabila mpare na nimeoa mwanamke wa kirangi tuliejaaliwa kupata watoto wanne, wakiume watatu na wakike mmoja....chakushangaza mtoto wetu wanne alitoka na nywele za kiarabu na ukimuangalia huulizi sababu ni mwarabu kabisa,,,nilichofanya ni kumchukua kisirisiri bila mama yake kujua na kwenda kumpima DNA nikitarajia majibu yakionyesha si wangu nianze sasa movement au step forward...
sasa nashangaa majibu yametoka eto mtoto ni wa kwangu kwa asilimia zote,,kwakweli nimepata maswali mengi kama ni kweli vipimo hivi ni sahihi ama lah...vilevile watu wengi wameniambia eti siku hizi jamaa hawa huwa wanadanganya na kukupa majibu ya uongo kuonyesha mtoto ni wa kwako hata kama si kweli ili kupunguza watoto wa mitaani sasa niko njia panda jamani nifanyaje katika hili? naomba mwenye uzoefu na hawa jamaa atueleze ukweli katika hili tafadhali
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sina uzoefu ila what I know they give out a positive results in order to avoid divorce and to maintain peace in your house,kinyume na hapo muende baba wawili mkigombea mtoto mmoja ndio correct answer will be provided.

    ReplyDelete
  2. Aaaaah shaka ondoka kaka watu wengi wa Singida asili yao ni waarabu inawezekana hicho ni kizazi cha 5 nyuma

    ReplyDelete
  3. Wewe kaka hapo juu mchonganishi kwa majibu yako ya HATARI. NI kweli, watu wa Kondoa, singida, mbulu na maeneo hayo, wanaasiri za Kiarabu kabisa. Mtoto huyu ni wako; utamaliza hospital zoooooteeee majibu ni yale yale. Acha kusikiriza mambo ya waswahili. Wanamsubiri mkeo umuache naye awazalie watoto wazuri kama huyo. Lea mtoto wako kwa raha zako.Baba

    ReplyDelete

Top Post Ad