AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kajala ameamua kuchora Tattoo yenye jina la WEMA mgongoni mwake baada ya kutolewa faini ya Shilingi Milioni 13 na msanii mwenzake Wema Sepetu,
Hii ikiwa kama ishara ya shukrani kwa rafiki yake kipenzi Wema Sepetu.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Mbururaaaaa
ReplyDeleteNI SAWA KABISA KAJALA... AMEKUTOA PABAYA SANA. JELA KITU KINGINE KABISA, HATA KIZAZI CHAKO UKIWAPA HISTORIA YA HIYO TATOO KINAELEWEKA. NA JINA LENYEWE ZURI. WEMA. HATA UNGEKUWA MJAMZITO HUYO MTOTO HAKI KUMUITA WEMA.
ReplyDeleteUKO SAWA MAMA MSHUKURU MUNGU, MBONA NI WENGI WANATESEKA WAMEKOSA DHAMANA YA VITU KAMA HIVYO IWEJE KWAKO? CONG. WEMA
ReplyDelete