AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mtuhumiwa wa Mauaji ya Padri Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki parokia ya minara miwili mjini Zanzibar, Omar Mussa Makame (35) akiwa katika Mahakama Kuu ya Zanzibar kabla ya kesi yake kutajwa mahakamani hapo.
Picha zote na Haroub Hussein
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Kwa kumwangalia tu mtuhumiwa unaweza pata majibu yote, huwezi kutabasamu kama hujaua, utakuwa unawaza maisha na familia yako itaishije. Imagine mtu kama huyu ambae kawa brain washed kiasi hiki utamweleza nini akuelewe just to make the world a safe place no matter anadhani kwa kiasi gani ukristo umemfanya awe fundi seremala ingawa hajui hata kwa nini mbao hupinda ikikauka ila anajua tu huwa zinapinda, anataka share sawa za maisha na vyeo apelekewe nyumbani.
ReplyDeletetuseme ni kweli yeye ndie alieua kweli au wamemfananisha na picha iliyochorwa imefanana nae tu,mi mbado sijahamini kama ni yeye kwelio na nani kamtuma na hana wasiwasi kabisa kwa sababu anajua atatoka tu kwa mambo ya zenji utasikia hana hatia huyu mtu,watuambie wamebaini nini kama ndie yeye
ReplyDeletekila achekae haimaanishi kama anafura jamani
ReplyDelete