AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
"Naomba kuchukua nafasi hii kuomba radhi kwa yeyote aliyekwazika kwa maneno machafu yaliyoandikwa kwa wall yangu, na pia naomba nieleweke kwamba sihusiki na chochote kupost au kuandika chochote kuhusu kikwete foundation na picha za jdee ukiwa naked, sina ugomvi na yeyote naheshimu hisia za kila mtu nikiamini kila mtu Anamaamuzi yake.. Aliyeamua kutumia jina langu kufanya hao najua sasa unajiskia vizuri baada ya matusi mengi niliyotukanwa.. Maisha hayaishii hapa siku zinaenda na ukwali utafahamika siku moja ... Mchana mwema !!"
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
vita ya panzi...'
ReplyDeleteZiumiazo ni nyika
ReplyDeleteAdam so beach faccccccccccc
ReplyDeleteKatumwa huyo angekataa angekosa ugali wa kumpelekea Joniiiiii.Ruge na Joseph wameamua kuendesha propaganda zao kwa remote huyu Adamu anatumiwa tu na njaa yake itamfikisha pabaya
ReplyDeleteDah, pole sana Kaka, aliyetenda huo ujinga kajiona mjanja, mjuaji mwenye busara, ila akumbuke hakuna kisicho na MALIPO! Na malipo yake ni hapa hapa duniani.
ReplyDeleteMtasema yote team anaconda tuko juu.tafuten njia nyingine kumchafua huyu mdada
ReplyDelete