AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
ndugu nina uliza ni nini maana ya mwandishi huyu kutiomalizia habari hiyo..?
na hili si linathibitisha kuwa tbc si chombo tena cha habari cha wananchi..nani chombo cha chama na serikali yake..?
hebu nisaidieni zaidi maana yake nini hii
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
kaka husiumize kicha na TBC siku zote wanatoa habari zinaziipendeza serikari yao iliyowajiri soo wewe wapige kapuni habari kama hizo hawawezi kuzisomaaaa!!
ReplyDeletehata hivyo watangazaji wa tbc kama vile hawajui ki ingerza kama leo tar 17/5/2013 asubuhi ktk magazeti aliekua anasoma ilifka muda wa kusoma yale ya THE GUDIANS NA DELLY NEWS akasema habari ndo hizo hizo lk ya kiswahili anarudia rudia habari nikajua hakuna kitu hapo
ReplyDeleteKwani wewe hujajua tu
ReplyDeleteUsipate tabu na hao watu,kwani hujawashtukia siku zote,huwa siangalii hata taarifa zao zilizoeditiwa,wanaitumikia CCM na serikali yake.
ReplyDelete,kwani hujawashtukia wanaiabudu ccm siku zote,hata taarifa zao zinaeditiwa,wanaitumikia CCM na serikali yake.
ReplyDeleteWacha hiyo, siku simba na Yanga zinacheza uwanja wa taifa, TBC1 wanaonesha kombe la dunia iliyochezwa Sauth Africa. chezea TBC1 wewe?!!!!
ReplyDeleteMnataka iwatumikie chadema? Nyie endeleeni kusikiliza vyombo vya habari vya chadema hakuna atakae wabuguza, Mnauwezo mdogo wa kutambua mambo.
ReplyDelete