Baada ya Sintah, Nisha naye aogopa kumtangaza mpenzi wake. Aogopa wadada wa mjini

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katika kile kinachoonekana kama mwendelezo ama tabia za wanawake kuibiana wapenzi hasa hawa wenye majina makubwa nchini, mwigizaji wa bongo movies Salma Jabu al maarufu kama Nisha, naye amegoma kumtaja mpenzi wake hadharani kwa madai ya kuwa anaogopa kunyang'anywa tena mpenzi wake huyo kama ilivyotokea alipokuwa na mpenzi wake wa zamani "Nay wa Mitego''-msanii maarufu wa bongo fleva nchini amabye naye kipindi cha nyuma likuwa mwigizaji.

Akiongea na gazeti moja maarufu la udaku nchini, Nisha amesema kuwa amejifunza kwa yaliyomtokea na sasa yupo mwangalifu sana na penzi lake, kwani anajua kina dada hawa hawatasita kufanya lolote ili mradi wakuchukulie mpenzi wako na kukuona ukiahangaika.

Hii inakuwa ni mara ya pili kwa msanii wa bongo movies kufanya kitendo kama hiki baada ya mwanadada Sintah naye kuamua kumficha mpenzi wake.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sintah mpenzi wake Patrick Rutabanzibwa katibu mkuu wa wizara ya Ardhi.Mke wa Patrick Huu mwaka wa 20 wa ndoa hazai.Sintah ndio mke wanje na Picha tunazo

    ReplyDelete
  2. Hata Mie Nilisikia

    ReplyDelete

Top Post Ad