Hatimae K'Lyne Aweka Wazi Uhusiano Wake na Reginald Mengi Kwenye Twiiter

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Kumekuwepo na Minong'ono mingi lakini hapakuwa na ushahidi wa hili mpaka mwanadada huyo alipoamua kuanika hadharani kuwa mheshimiwa bwana Reginald Mengi ndiye baba halali wa mapacha wake wawili. Happy Birthday Mmili wa makampuni ya IPP bwana REGINALD mengi kwa kumiliki mtoto mkali TOP in town kimwana Jackline Ntuyabaliwe(K'lyne)  mapenzi hayana macho siku zote.

Hii ndio Tweet ya K'lyne kwa mpenzi wake Mh. MENGI

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

28 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mmmmh... aya bhana!

    ReplyDelete
  2. So what?????????? acha wa enjoy maisha.Kila shetani na mbuyu wake!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  3. wazeee wengine bwana, wanatafuta kumegewa afu wamtie mtu jela miaka 100...

    ReplyDelete
  4. Wewe mtoto babu mzee Huoni Aibu.hizi Pesa zitatupeleka pabaya.

    ReplyDelete
  5. Get a job work hard tafuta saizi Yako wewe

    ReplyDelete
  6. Your love jesus

    ReplyDelete
  7. hata kama hawalingani mapenzi hayachaguii msingilie mapenzi ya watu mapenzi hayana age its just a number so fuateni yenu ni wivu tu inawasumbua kwakuwa watoto wake wana uwakika wa kulelewa vizuri na wakijaliwa wakuwe watasoma vizuri nyie mtabakia na hoh hawalingani mara sijui kijana sijui mzee is not yours busness mind yours life

    ReplyDelete
  8. watu mmejaa wivu tu kupendana wapendane wao wivu uone ww .....majanga

    ReplyDelete
  9. Acha wafanye yao bna acheni mtima nyongo,kunatatizo kwan?

    ReplyDelete
  10. bhana weeee wivu c wivu kuna vtu viko live bila chenga huyu babu angekuwa MAJAnGA angethubutu kusema haya??????? ntokeeni mie huyu dem angependa libabu chokest nngeona kwel real love

    ReplyDelete
  11. Tumezoea kuona wapenzi hawapishani sana umri lakini hayo ni mazoea tu ya machoni.mkipendana kweli umri si tatizo..let love lead the way thts the very true base of any relationship..long live mengi,long live kylne anD long live the twins.

    ReplyDelete
  12. Ama kweli ng'ombe azeiki MAINI, hongera Mhe, ila tu tunza na kuijari familia yako japo sipendi kuamini kuwa unaweza kutoka nje ya ndoa yako.

    ReplyDelete
  13. k lyne zaa wengine watatu

    ReplyDelete
  14. mwenye wivu ajinyonge k lyne kula bataaaaaaaaaaaaa watoto wsatamalizia mbuzi

    ReplyDelete
  15. mwenye wivu ajinyonge....... klyne kula bata watoto watamalizia mbuzi

    ReplyDelete
  16. mh. na mm nasubili mtoto wenu wa kike nilipize, atanikuta tayr nina 60-70

    ReplyDelete
  17. mimi nitajinyonga kwa wivu

    ReplyDelete
  18. khaa, huyu mengi si mume wa mtu jamani? au wameachana na yule mkewe mama yake regina? wanaume wa kibongo bwana, majanga tu. halafu huyu klynn si alikua anatokaga na yule kinje sijui, yaelekea ni gold digger!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha udaku , wewe umetoka na wangapi, mbona hatusemi - roho mbaya zitawauwa

      Delete
  19. Acheni wajirushe raha ni zao nyinyi kina waumanini??????????? kufatilia maisha ya watu wewe nani kakufatilia yako usikute yako ndo mabaya zaidi acha mdomo wa pipa la takataka wewe kafanye yako yanayokuhusu wewe.

    ReplyDelete
  20. Madam Rita akiona hii mbona utaipata

    ReplyDelete
  21. Mmmhh klyn una akili we mdada kumbe una siri kubwa hivyo....we lichune tu hilo lizee maana linaonekana ni mcharuko goodluck jacklyn......

    ReplyDelete
  22. mwacheni dingi mkubwa wangu.

    ReplyDelete
  23. kama ni mzee mbona ameweza ku perform show na kumzalisha acheni majungu mtu asipendwe na mzee eti baba yake kwani wana undugu wa damu au jackline anaitwa jackline mengi by blood relation wivu tu umewajaa na ndio maana hamuuendelei wengine

    ReplyDelete
  24. Hongera Jack. Tunza vizuri wababy wako. Wacha wanaoangaika wahangaike

    ReplyDelete
  25. muacheni mzee atafune vitu

    ReplyDelete
  26. nimempend jak kula bata hadi waone donge watabaki kutamani tuu

    ReplyDelete
  27. acheni wivi jamani mi mwenyewe nina miaka 25 ningelipata hili libabu maisha yangu yangekuwa burudaniii

    ReplyDelete

Top Post Ad