AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Model Fanny, 22, aliamua kuondoka kwenye mjengo wa staa huyo nchini Italia kufutia ugomvi uliozuka baada ya Balo kusema utani huo. Staa huyo AC Milan, alisema wachezaji wa Real akiwemo Cristiano Ronaldo —wangeweza kufanya mapenzi na Fanny kama wangeweza kuingia fainali ya mabingwa wa Ulaya.
Hata hivyo baadaye alikanusha kutoa kauli hiyo. Real hawakufanikiwa baada ya kutolewa na Borussia Dortmund.
Marafiki wanasema Balo ameumia kwa kuachwa na mpenzi wake huyo lakini amejifariji kwa kununua Ferrari mpya ya paundi laki mbili.
Credits:Bongo 5
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Kanisa la Katoliki nchini lazidi kuingiliwa na mapepo.
ReplyDeleteSiku chache baada ya kupata doa la Padri kufaniwa na mke wa mtu wakiwa watupu wa mnyama huko Marangu Moshi,
LEO HII KUMEYOKEA MLIPUKO NDANI YA KANISA JIPYA LILILOKUWA LINAZINDULIWA HUKO OLASITY MJINI ARUSHA> WATU SITA WAMEPOTEZA MAISHA NA MAMI KUJEUHIWA.
Mungu tusaidie ktk kiza hiki.
Acha uongo we unaesema watu 6 wamekufa jaribu kufatilia kwa umakini ndipo uandike kitu ulicho kifanyia uchunguzi kwa uhakika na umakini....ndio wachawi wenyewe nyie...mpaka sasa hakuna aliyepoteza maisha...shame on u kwa kuwachulia wenzako kifo sbb ya ujingaa wako wa kutofanya uchunguzi unakurupuka kwa story za kusimuliwa
Deleteteh teh kila mtanzania n blogger hapatoshi
ReplyDelete