AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Ney alizungumza hayo pale nilipotaka kujua kutoka kwake juu ya kitendo cha msanii Nikki Mbishi kutengeneza wimbo unaoitwa Ney Wamitego, wimbo ambao unaonekana moja kwa moja unamzungumzia Ney Wamitego kama mwanamke au mwanaume siyo.
Mwanzoni mwa mazungumzo yangu nilitaka kujua kutoka kwa Ney, anachukuliaje kitendo cha msanii huyo kuandika wimbo unaomzungumzia yeye, Ney alikataa kuzugumza hilo huku akisema "Yaani kaka mimi nikiongea kitu tu mimi nampa kick ile anayotaka yule dogo, mi sitakiwi kuongea kitu, yaani hiki ndio kitu ambacho watu wa karibu wamekuja wameniambia this time huyu amefanya hiki kwa sababu ya hiki, so dont talk anything"
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
mpuuzi mwenyewe kapata jina kwa kuwaudhi wasanii wakubwa!
ReplyDeleteWasaniii wa bongo njaaa kali kakuimba na wewe muimbe bongo fleva iwe kama taarabu agendao wa mipasho njaaa na kutafuta umaarufu mtaishia ugomvi siku zote maendeleo 0 ( zero)
ReplyDelete