AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Tatizo lipo wapi mbona kawaida tu
ReplyDeletekatisha na kutokelezea
ReplyDeleteNice Go Go girl kwa joto la hapa Tz hata hizo nahisi ni kujikera mwili unataka upitishe hewa ongera ndugu yetu waoneshe hao washwahili maendeo na sio kuficha urembo waliobarikiwa
ReplyDeleteAnony may10 at 2:01pm...so mapaja ni maendeleo???
ReplyDeleteLulu umependeza sana ila angalia sana urembo wako usikupoteze,unweza fanya mambo makubwa sana ya kimaendeeleo huku ukiwa unajiheshimu.uzuri wa mtu haujifichi hata usipoonyesha paja.ni hiari yako..bado u mdogo unweza jiendeleza kishule zaidi hata ukiwa unafanya kazi zako zingine.elimu haizeeki ila mwili huwezi kuutegemea kukupa kipato maisha yako yote.kila la kheri bi mdogo.