AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
2. Kuishi kwenye nyumba yako mwenyewe.
3. Kuwa na watoto (wawili+)
4. Kama ni muajiriwa kuwa kwenye supervisory au senior position.
5. Maliza michakato ya msingi ya formal education unless uwe academician, Degree, MBA, Professional certification,
6. Kama umejiari, kuwa na profit making, professionally managed business.
7. kuweza kucontroll unywaji wa pombe.
8. kuwa na kitambi decent.
Nafikiria hivi kuwa vitu vya msingi sana, kupata ushauri ama angalizo za ziada itapendeza zaidi,
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Duh! Tumbo kama kibuyu as if anataka kuingia labor,ha ha ha ha.
ReplyDeleteHuyu jamaa ni wale waendesha mkokotene jamaa kajichokea kapumzika zake nyie mwampiga picha
ReplyDeleteFundi cherehani huyo ila kitambi heshima mjini
ReplyDeleteni bidii 2uu katika kaz
ReplyDelete