Vitu vya lazima kuwa umevitimiza at age 40

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

1. Kuwa ndani ya ndoa.
2. Kuishi kwenye nyumba yako mwenyewe.
3. Kuwa na watoto (wawili+)
4. Kama ni muajiriwa kuwa kwenye supervisory au senior position.
5. Maliza michakato ya msingi ya formal education unless uwe academician, Degree, MBA, Professional certification,
6. Kama umejiari, kuwa na profit making, professionally managed business.
7. kuweza kucontroll unywaji wa pombe.
8. kuwa na kitambi decent.

Nafikiria hivi kuwa vitu vya msingi sana, kupata ushauri ama angalizo za ziada itapendeza zaidi,
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Duh! Tumbo kama kibuyu as if anataka kuingia labor,ha ha ha ha.

    ReplyDelete
  2. Huyu jamaa ni wale waendesha mkokotene jamaa kajichokea kapumzika zake nyie mwampiga picha

    ReplyDelete
  3. Fundi cherehani huyo ila kitambi heshima mjini

    ReplyDelete
  4. ni bidii 2uu katika kaz

    ReplyDelete

Top Post Ad